Radio Tadio

Uhuru

4 November 2025, 13:06

Mtangazaji wa Baraka media afariki dunia

Uongozi wa Baraka FM unasikitika kutangaza kifo cha Kelvin Lameck ambaye alikuwa akitumikia nafasi ya Mhariri Msaidizi katika kituo chetu cha redio. Marehemu Kelvin Lameck amefariki dunia tarehe 29 Oktoba 2025, tukio lililowaacha kwa majonzi makubwa wafanyakazi wenzake, marafiki na…

28 October 2025, 14:32

Wazazi watakiwa kuwapa fursa ya elimu watoto wenye ulemavu Kasulu

Serikali imewataka wazazi na walezi kuhakikisha wanawapa watoto wenye ulemavu nafasi ya kwenda shule ili wapate elimu kama watoto wengine Na Hagai Ruyagila Wazazi na walezi Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa Kuwapatia fursa watoto wao wenye mahitaji maalumu kushiriki katika…

27 October 2025, 21:38 pm

CUF yaahidi maendeleo kwa Wananchi wa kata ya Madimba

Mgombea Ubunge wa Mtwara Vijijini kupitia CUF, Shamsia Azizi Mtamba, amewataka wananchi wa Kata ya Madimba kuendelea kumuamini na kumpa kura, akiahidi kuendeleza maendeleo na kulinda kura zao dhidi ya propaganda za kisiasa Na Musa MtepaMtwara–Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la…

25 October 2025, 21:34

DC Mbeya ahamasisha wananchi kupiga kura October 29, 2025

Kupiga kura ni haki ya msingi kwa kila mwananchi alikidhi vigezo ikiwemo umri.‎‎ Na Hobokela Lwinga ‎‎Wananchi halmashauri ya wilaya ya Mbeya wameshiriki matembezi ya pole kwa lengo la kujipongeza kwa ushindi wa mbio za Mwenge kikanda oktoba 14,2025 na…

24 October 2025, 15:32

Wenye ulemavu Kasulu kuchangamkia mikopo

Halmashauri ya mji Kasulu Mkoani Kigoma imewataka watu wenye ulemavu kujitokeza na kuchangamkia mikopo inayotolewa kwa makundi ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu. Na Hagai Ruyagila Watu wenye Ulemavu katika halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma wameshauriwa kutumia fursa…

23 October 2025, 15:30

Kandahari kuanzisha mfuko kusaidia wenye ulemavu Uvinza

Watu wenye ulemavu wameomba jamii kutoendelea kuwanyanyapaa badala yake wawaelekeze na kuwasaidia ili nao waweze kufanya shughuli za kuwaingizia kipato na kuchangia pato la familia na Taifa Na Mwandishi wetuMgombea ubunge Jimbo la Kigoma kusini Nuru Kashakali maarufu Kandahari ameahidi…

22 October 2025, 09:51

WCF yatoa viti mwendo kusaidia wenye mahitaji maalum Kasulu

Watu wenye mahitaji maalum hawana budi kushirikishwa kikamilifu katika shughuli za kijamii na kiuchumi ikiwa ni sehemu ya kujenga jamii jumuishi Na Hagai Ruyagila Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umetoa msaada wa viti mwendo 11 vyenye thamani ya shilingi…

15 October 2025, 09:28

Dkt. Mpango: Wananchi tudumishe amani, tumuenzi baba wa taifa

Mbio za mwenge kitaifa kitaifa 2025 zimehitimishwa rasmi mkoani Mbeya baada kukimbizwa kwa siku 195 nchi nzima. Na Hobokela Lwinga Makamu wa Rais Tanzania mhe.Philip Mpango amewataka wananchi wakiwemo vijana kuhakikisha ‎Wanasimamia misingi iliyoachwa na baba wa taifa mwalimu Julias…