Radio Tadio

Uchumi

31 Machi 2026, 12:09 um

Utelekezaji wa familia unavyoathiri malezi ya watoto

Makala hii inaelezea mwanamke ambae aliyetelekezwa na mumewake baada ya kupata ulemavu na kusababisha mzigo wa malezi kwa mzazi mmoja. Na Zaituni Juma akishirikiana na Nicholaus Mwaibale Bi Tausi ni mama wa watoto watatu mkazi wa Manispaa ya Tabora, ambaye…

16 Disemba 2025, 20:15

Wafanyabiashara  Manyara washauriwa kuwa na mpango mkakati

Wafanyabiashara mkoani  Manyara wametakiwa kuzingatia vigezo, sheria na matakwa yote ya kibiashara  ili kuepuka kupata adhabu mbalimbali ambazo wanawaweza kuzipata na kupelekea kushuka kibiashara. Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa leo na Meneja wa Chemba ya Taifa ya biashara (TNCC)…

26 Novemba 2025, 10:51 mu

Wafanyabiashara walia na miundombinu ya soko la Mpanda hotel

“Mvua zinazoendelea kunyesha zinaleta madhara makububwa “ Na Samwel Mbugi Wafanyabiashara wa soko la Mpanda hotel wameiomba serikali kushughulikia changamoto ya mifereji ya kupitishia maji hususani kipindi hiki cha mvua zilizoanza kunyesha ili isije kuleta madhara ya magojwa ya mlipuko.…

30 Septemba 2025, 1:01 um

Walimu FC mabingwa Ngorongoro

Ligi ya mpira wa miguu wilaya ya Ngorongoro imetatamatika licha ya kukumbwa na changamoto kadha wa kadha ikiwepo kukosekana kwa bajeti ya kutosha kuendesha ligi hiyo. Na mwandishi wetu. Walimu FC wametawazwa mabingwa wa Ligi ya Wilaya ya Ngorongoro baada…

3 Septemba 2025, 14:47

Ndege nyuki kuleta mapinduzi sekta ya kilimo nchini

Kampuni ya Mati Super Brands Ltd kupitia kampuni tanzu Mati Technologies imekuja na teknolojia ya kisasa ya Ndege nyuki (drone) kwa ajili ya sekta ya kilimo na huduma nyingine za kijamii ili kuongeza ufanisi. Na Mussa Kinkaya Mkurugenzi Mtendaji wa…

Agosti 23, 2025, 1:39 um

Jeshi la Magereza Ngara laadhimisha miaka 64

Matendo hayo ni pamoja na kuchangia damu, kufanya usafi wa mazingira na kutoa misaada kwa wagonjwa katika hospitali ya Nyamiaga. Na David Mwaluseke- Ngara, Kagera Katika kuadhimisha miaka 64 ya Jeshi la Magereza Tanzania Bara baada ya Uhuru, jeshi hilo…