Radio Tadio

Siasa

26 September 2024, 10:17 pm

Mtoto (3) afariki dunia kwa kutumbukia kisimani Geita

Mtoto mwenye umri wa miaka mitatu amefariki dunia kwa kutumbukia katika kisima baada ya kudaiwa kutoweka nyumbani na kisha kukutwa ndani ya kisimani. Na: Ediga Rwenduru – Geita Mtoto mwenye umri wa miaka mitatu aliyetambulika kwa jina la Junior Mussa…

24 September 2024, 7:26 pm

Anastazia aliyevunjika mgongo bado anaomba msaada

Mkazi wa Geita na Tanzania tuungane kwa mara nyingine tena kuendelea kumsaidia Anastazia kwakuwa pesa ulizojitoa kumchangia nakupata nafasi ya kupata matibabu katika Hosptali ya Bungando Jijini Mwanza zimeisha namba ya msaada ni 0756397026. Na Mrisho Sadick: Siku zote hatuwezi…

19 September 2024, 12:16 am

Watu wawili wanusurika kifo kwa ajali mbaya ya ya pikipiki

Pichani ni umati wa watu wakiwa eneo la tukio.picha na Kale chongela. Katika hali ya kushangaza dereva pikipiki na dereva baiskeli wamegongana na kusababisha watu wawili kunusurika na kifo wakiwa katika shughuli zao za kila siku za kusafirisha abiria. Na…

June 7, 2024, 9:11 am

Wawili wachomwa moto kwa tuhuma za wizi Shinyanga

Vijana wawili waliofahamika kwa majina ya Bahati Dotto na Emma wakazi wa manispaa ya Shinyanga wamepigwa na wananchi wenye hasira kali na kisha kuchomwa moto hadi kupoteza maisha wakituhumiwa kujihusisha na matukio ya wizi. Tukio hilo limeteokea jana mtaa wa…

5 February 2024, 4:14 pm

DC Mpanda: Waliofyekewa mahindi walipwe

“Chama Cha Mapinduzi hakipo tayari kuona baadhi ya wananchi wakidhurumiwa haki zao.Picha na Deud Daud Na Festo Kinyogoto Mjumbe wa halamashauri kuu ya CCM taifa, katibu wa itikadi na Uenezi Chama cha Mapinduzi  PAUL MAKONDA Amemuagiza mkuu wa wilaya ya…

5 February 2024, 3:49 pm

Makonda: Watendaji wazembe serikalini wanakiangusha chama

“Chama cha mapinduzi hakipo tayari kuona Wananchi wakiendelea kuteseka na kero zinzowakabili huku watendaji wa serikali wakitumia mianya hiyo kujinufaisha wenyewe bila kujali wananchi.Picha na Deus Daud Na Festo Kinyogoto Mjumbe wa halamashauri kuu ya CCM taifa, katibu itikadi uenezi…

5 February 2024, 12:23 pm

Ccm yawaonya wasiofata taratibu

Chama cha mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro kimewataka baadhi ya wanachama ambao wamekuwa wakikiuka taratibu za chama kwa kuomba kura kwa wananchi kabla ya uchaguzi kuacha mara moja. Na Elizabeth Mafie Chama cha Mapinduzi (CCM ) mkoa wa Kilimanjaro kimetoa onyo…