Radio Tadio

Sera na Sheria

9 October 2023, 1:38 pm

Wananchi waombwa  kuacha kuwapa nguvu Kamchape

Wananchi wa mkoa wa Katavi waombwa  kuacha kuwapa nguvu na fursa watu wanaodhaniwa  kuwa na uwezo wa kufichua wachawi[Kamchape] Na John Benjamin – KataviWananchi wa mkoa wa Katavi wameombwa  kuacha kuwapa nguvu na fursa watu wanaodhaniwa  kuwa na uwezo wa kufichua wachawi[Kamchape]…

17 August 2023, 10:50 am

ZALHO kutoa msaada bure wa kisheria kwa wanzanizbari

Shirikala msaada wa kisheria na haki za binaadamu Zanzibar likielezea malengo yake ya kuwasaidia wananchi wanyonge Zanzibar ili waweze kupata haki zao za kisheria hasa kwa wale ambao watashindwa kuwa na mawakili wa kuwasaidia wanapohitaji msaada wa kisheria. Na Fatma…

15 August 2023, 10:15 am

Wananchi Walia na Madereva Wasiosimamia Sheria za Barabarani

Wananchi Manispaa ya Mpanda wamelalamikia baadhi madereva wa vyombo vya moto mkoani hapa kutozingatia sheria za usalama barabarani hali inayopelea ajali zisizo na ulazima.Wakizungumza na Mpanda Radio fm wameeleza changamoto wanayoipata kutokana na madereva kushindwa kuzingatia sheria za usalama wa…

6 July 2023, 10:39 am

Mbolea ya ruzuku yamweka matatani mfanyabiashara Iringa

Na Frank Leornad SERIKALI ya Mkoa wa Iringa imemnasa mfanyabiashara Maneno Yusuph Kivembele (50) mkazi wa Ilula wilayani Kilolo akihususishwa na tuhuma ya ununuzi wa mbolea ya ruzuku kwa njia ya udanganyifu na kuuza kwa wakulima kwa bei ya juu…

4 July 2023, 11:02 am

Wakuu wa idara wazembe Chato kuchukuliwa hatua

Wakuu wa Idara wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato wamekuwa na kasumba ya kutohudhuria vikao vya baraza la madiwani jambo ambalo limemsukuma Mkuu wa Mkoa kutoa maagizo. Na Zubeda Handrish -Geita Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigela ameagiza kuchukuliwa…

8 May 2023, 2:11 pm

Polisi Iringa wamshikilia Tegete kwa Kulawiti Mtoto.

Na Joyce Buganda na Hafidh Ally Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa linamshikilia Kijana anayejulikana kwa jina la DRIVE TEGETE Mkazi wa kijiji cha kidamali kata ya mzihi mwenye umiri wa miaka 23 kwa kosa la kulawiti Mtoto. Akizungumza na…

3 March 2023, 4:18 pm

Dhamana Kizungumkuti Iringa

Wameomba elimu hiyo mara baada ya kupata usumbufu ambao wamekuwa wakipitia wakati mgumu wakifuatilia dhamana. Na Joyce Buganda. Wakazi wa Manispaa ya Iringa  wameiomba Serikali kuendelea kutoa elimu kuhusu  suala la  dhamana ili kuwapunguzia adha pindi wanapohitaji huduma hiyo. Wakizungumza…