Radio Tadio

Migogoro

7 Juni 2023, 10:22 mu

Wananchi Dirifu waomba ufafanuzi kuhusu RK

MPANDA Wananchi wa kijiji cha Dirifu wameuomba uongozi wa mkoa wa Katavi kutolea ufafanuzi juu ya uwepo wa mwekezaji (Raymond Kamtoni RK ) katika machimbo ya mlima wa kijiji hicho. Wakizungumza katika mkutano wa mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua…

18 Aprili 2023, 1:24 um

Migogoro baina ya viongozi Bolisa yazorotesha maendeleo

Katibu wa jumuiya ya wazazi wa chama cha mapinduzi wilayani humo amekemea mwenendo wa migogoro hiyo kwani itawagharimu katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Na Nizar Mafita. Migogoro na maslahi binafsi ya viongozi na wananchi katika Kata ya Bolisa…

6 Aprili 2023, 9:57 mu

Mkazi wa Ibindi Ajinyonga Nyumbani Kwake

KATAVI Mtu mmoja anayefamika kwa jina la Aden Mwakipesile mwenye umri wa miaka 49 mkazi wa kijiji cha Ibindi wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi amekutwa amefariki kwa kujinyonga nyumbani kwake usiku wa kuamkia April 4. Mke wa marehemu Letisia Deus…

4 Machi 2023, 5:49 um

Mbunge wa Mpanda Mjini ataka elimu kwa wachimbaji wadogo

MPANDA Mbunge wa jimbo la Mpanda mjini Sebastian Kapufi ameitaka sekta ya madini mkoani Katavi kutoa ELimu ya kutambua maeneo ya njia ya mtandao, nukta majira kwa wachimbaji wadogo wa madini ili kuondoa migogoro ya maeneo iliyoanza kujitokeza kwa wachimbaji…

27 Febuari 2023, 3:44 um

MEYA: Tamko Mgomo Madereva Daladala Iringa

Kufuatia mgomo wa madereva daladala siku ya leo katika halmshauri ya manispaa ya Iringa, madereva wa pikipiki za miguu mitatu maarufu bajaj,wameelezwa kuwa sababu  ya mgomo  huo.  Na Hawa Mohammed. Akizungumza katika kikao cha baraza la madiwani manispaa ya Iringa…