Radio Tadio

Mifugo

15 Julai 2023, 11:35 mu

Kakakuona aonekana Iringa Atabiri

Na Hafidh Ally Mnyama aina ya Kakakuona aliyemtabiria Mkulima Mkazi wa Kijiji cha Ihemi kupata mafanikio kupitia zao la Parachichi amekabidhiwa katika idara ya Wanyamapori Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Akizungumza wakati wa kumkabidhi Mnyama hiyo ambaye alimuokota akiwa shambani…

6 Julai 2023, 11:29 mu

Simba waliozua taharuki Iringa warudi hifadhini

Na Hafidh Ally BAADHI ya Simba wala mifugo waliotokea Hifadhi ya Taifa ya Ruaha na kuzua taharuki kwa wananchi mkoani Iringa kwa zaidi ya siku 64 wanadaiwa kurudi hifadhini humo. Akizungumza na kituo hiki  Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, Kamishna…

6 Julai 2023, 10:34 mu

Fisi wajeruhi mifugo Mufindi- Wananchi kuchukua tahadhari

Na Mwandishi Wananchi wilayani Mufindi wametakiwa kutoa ushirikiano wa kumsaka fisi ambaye ameua mifugo aina ya Nguruwe wawili kondoo Wanne na kujeruhi kuku katika bonde la Mgololo. Akitoa ufafanuzi wa sintofahamu iliyozuka katika kata ya Makungu, Afisa Habari na Mawasiliano…

17 Mei 2023, 7:08 um

Zaidi ya mbwa 621 wauwawa Katavi

MPANDA Zaidi ya mbwa 621 wameuawa kufuatia zoezi lililofanyika kwa awamu nne la kuangamiza mbwa wasio na makazi maalum ili kuondoa mrundikano wa mbwa wenye vichaa ndani ya manispaa ya Mpanda. Hayo yamesemwa na Afisa Mifugo wa manispaa ya Mpanda…

22 Febuari 2023, 3:31 um

Chanjo ya kichaa cha Mbwa

Isidory Matandula  Imeelezwa kuwa asilimia 99 ya watu wanaokufa kutokana na ugonjwa wa kichaa cha mbwa, wanakufa kwasababu waling’atwa na Mbwa mwenye kichaa na asilimia moja tu ndio wanakufa kwa kung’atwa wanyama wengine . Hayo yamebainishwa na Dkt Sambo Maganga…

30 Januari 2023, 9:32 mu

Waziri Ndaki awataka wafugaji kubadilika.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Mashimba Ndaki (Mb)amewataka wafugaji kubadilika kwa kuacha mfumo wa ufugaji wa mazoea kwa kutegemea ardhi ya Jumuiya na badala yake wawe na eneo la kufugia Mifugo Yao eneo ambalo atatumia liwe linatambulika kisheria. Waziri…