Makala
21 September 2023, 4:58 pm
Ni kawaida tembo kurudi katika usharoba waliozoea?
Kwa asili hiyo ya Tembo pale wanapokuja katika makazi ya watu kuna mbinu mbalimbali hutumika kuwakabili, mbinu ambazo huzaa matunda mara moja. Yussuph Hassan. Fahari ya Dodoma inaendelea kukuelezea tukio la baadhi ya maeneo yaliyovamiwa na kundi la tembo Dodoma.…
20 September 2023, 3:29 pm
Fahamu maajabu na uvamizi wa Tembo katika vijiji
Je ni mbinu gani nzuri zinazo tumika kuwarudisha Tembo hifadhini pindi wanapo ingia katika makazi ya watu ? Na Yussuph Hassan. Fahari ya Dodoma leo imezungumza na Afisa wanyamapori jiji la Dodoma hapa anaeleza jinsi Tembo wanavyoingia katika vijiji na…
6 September 2023, 3:06 pm
Vilindoni shule kongwe yenye changamoto
Licha ya shule hii kuwa Kongwe lakinibado inakabiliwa na upungufu wa madawati, upungufu wa walimu na Uchakavu wa madarasa. Na Yussuph Hassan. Leo kamera ya fahari ya Fahari imegonga hodi katika kata ya Mbabala shule ya msingi Vilindoni ,shule hii…
4 September 2023, 5:19 pm
Fahamu asili ya jina Dodoma
Je ni kweli jina la Dodoma lilitokana na tembo kudidimia katika eneo la Kikuyu kilipo chuo cha mtakatifu Yohana leo hii?
21 August 2023, 6:15 pm
Jinsi ajira kwa watoto zinavyoathiri maisha ya mtoto
Alfred Bulahya amezungumza na binti ambaye aliajiriwa katika umri mdogo lakini mwajiri wake aliamua kumuendeleza kielimu. Na Alfred Bulahya. Ajira kwa watoto inarejelea unyonyaji wa watoto kupitia aina yoyote ya kazi ambayo inawanyima utoto wao, inaingilia uwezo wao wa kuhudhuria shule ya kawaida, na inawadhuru kiakili,…
7 August 2023, 2:20 pm
Jinsi jamii inavyopambana na ukatili wa kingono dhidi ya watoto
Familia zinaaswa kuacha kumaliza kesi hizi kifamilia kwani inakuwa haisadii mtu anae fanya vitendo hivi anaweza kufanya kwa mtu mwingine. Na Leonard Mwacha. Jamii inashauriwa kuacha kufumbia macho ukatili dhidi ya watoto hasa ukatili wa kingono kwani umekuwa ukiwaathiri zaidi…
3 August 2023, 4:19 pm
Zifahamu shughuli za kiuchumi zinazochangia uharibifu bwawa la Hombolo
Serikali imekuwa ikiwasisitiza wavuvi kuwa na leseni lakini watu wengi wa eneo hili hawafuati utaratibu ili kutunza samaki wanao patikana katika bwawa hilo. Na Yussuph Hassan. Shughuli za kiuchumi zimekuwa zikiendeshwa kwa muda mrefu katika bwawa hili lakini shughuli za…
31 July 2023, 4:53 pm
Historia ya bwawa la Hombolo
Inasemekana kuwa bwawa hilo la Hombolo lina aina mbalimbali ya samaki wakiwemo dagaa, uduvi, ningu, kambale na perege. Na Yussuph Hassan. Bado tunaenedelea kuangazia historia ya bwawa la Hombolo bwawa ambalo linapatikana katika eneo la Hombolo lililopo Jijini Dodoma .…
26 July 2023, 5:55 pm
Utunzaji wa mila na Desturi katika wilaya ya Bahi
Je wakazi wa eneo hili bado wanadumisha mila na desturi. Na Yussuph Hassan. Bado tupo wilayani Bahi kuitazama historia ya wilaya hii na leo tutafahamu kuhusu wenyeji wa eneo hili ni kabila gani hasa.
19 June 2023, 6:30 pm
Miradi ya maendeleo kata ya Naberera inayotekelezwa na Serikali yafikia patamu.
Serikali ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kutekeleza miradi chungumzima kama vile ya maji,shule na mingine. Na Isack Dickson Kata ya Naberera inapatikana katika wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara na ni umbali…