Radio Tadio

Maji

24 June 2024, 7:34 am

CCM yaagiza viongozi wazembe washughulikiwe Geita

Viongozi wazembe wanaokwamisha miradi na wenye dharau wamekalia kuti kavu mkoani Geita baada ya katibu wa NEC kuagiza wasakwe na wachukuliwe hatua. Na Mrisho Sadick: Katibu wa NEC Organization na mlezi wa CCM Mkoa wa Geita Issa Haji Ussi GAVU…

7 June 2024, 11:15 am

DC Simalenga awapa za uso wakulima makanjanja wa pamba

“Msimu ujao wa kilimo hatutaruhusu mkulima yeyote kuchukua mbegu na viatilifu bila kuonesha shamba lake alilolima ili kuondoa wakulima makanjanja katika zao hilo” Na, Daniel Manyanga Serikali wilayani Bariadi mkoani Simiyu imebaini uwepo wa ekari elfu arobaini hewa za zao…

26 May 2024, 4:42 pm

Waziri Mkuu kutua Geita mwezi Juni

Ili kuongeza ufanisi na wigo katika ukusanyaji wa mapato serikali imeendelea kuanzisha vituo vya uwezeshaji wananchi kiuchumi ili kutengeneza walipa kodi wapya kupitia vituo hivyo. Na Mrisho Sadick: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe Kassim Majaliwa anatarajia…

21 May 2024, 22:40

NEMC kuwafikia wachimbaji madini zaidi ya 300 Mbeya, Songwe

Sekta ya madini ni sekta nyeti katika kuliingizia taifa pato,katokana na hali hiyo serikali imeendelea kuwatengenezea mazingira rafiki wachimbaji sambamba na kutoa elimu ya mara mara ili kujiepusha na madhara wanayoweza kuyapata kutokana na kazi ya uchimbaji. Na Kelvin Lameck…

17 May 2024, 5:12 pm

Pangani DC yafikia 77% ya mapato 2023/24

Ukusanyaji wa mapato ndiyo msingi wa huduma bora kwa wananchi, watendaji wa halmashauri ongezeni nguvu katika makusanyo. Na Cosmas Clement Halmashauri ya wilaya ya Pangani imesema imefanikiwa kukusanya asilimia 77 ya bajeti ya mapato ya ndani, kupitia mapato lindwa na…

May 1, 2024, 4:36 pm

Nyumba 11 zabomoka kutokana na mvua kubwa,Kijiji cha Mwashimbai

Nyumba zilizoanguka hazikuzingatia ujenzi bora wenye kuvumilia hali ya hewa ya sasa Na Sebastian Mnakaya Zaidi ya nyumba 11 katika kijiji cha Mwashimbai kata ya Ngaya halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga zimeanguka kutokana na changamoto ya mvua zinazoendelea…

16 April 2024, 4:00 pm

Amuua mke kisa wivu wa kimapenzi

Matukio ya kujeruhi na kuua wenza wao yamezidi kushamili katika maeneo ya Kanda ya ziwa hasa katika wilaya ya Sengerema ambapo zaidi ya matukio matano yameripotiwa kutokea ndani ya miezi mitatu. Na:Said Mahera Mwanamme mmoja aliyejulikana kwa jina la Jackson…