Maji
30 March 2023, 5:39 pm
Maswa: Wakazi wa mji wa Malampaka walalamikia mgao wa maji
Na Alex.F.Sayi Wakazi zaidi ya elfu ishirini na nne wa Mji wa Malampaka Wilayani Maswa Mkoani Simiyu,wanakabiliwa na adha ya mgao wa maji unaotokana na upungufu wa maji safi na salama mjini hapo. Akizungumza na Sibuka fm redio Diwani wa…
22 March 2023, 9:20 am
Akina mama wa kijiji cha Emboreet wilaya ya Simanjiro wapata ahueni Upatikanaji…
Siku ya maji duniani huadhimishwa kila mwaka na mwaka hu imeadhimishwa Machi 22, 2023 na huwa ni mahususi kwa kuangalia upatikanaji wa maji safi na salama laki pia usalama wa maji. Na Isack Dickson Mkuu wa wilaya ya Simanjiro Dkt.Suleiman…
20 March 2023, 4:56 pm
Wanawake wawe mstari wa mbele mtoto wa kike kupata elimu
KATAVI Wanawake Mkoani Katavi wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuwahamasisha watoto wa kike juu ya umuhimu wa elimu sambamba na kuwaeleza fursa zinazotolewa na serikali ili kuwasaidia kutimiza ndoto zao . Wito huo umetolewa hivi karibuni na Mkuu wa…
20 March 2023, 3:07 pm
Wananchi walalamika kutumia maji yasiyo salama
Wakazi walalamika kutumia maji ya mto kizigo ambayo sio safi na salama baaada ya kuharibika kwa mashine ya kusukuma maji. Na Victor Chigwada. Wakazi wa kijiji cha Chinugulu wilayani chamwino wamelalamika kutumia maji ya mto kizigo ambayo sio safi na…
15 March 2023, 11:42 am
DUWASA wapongezwa utekelezaji wa mradi wa visima vya maji Nzuguni
Kamati ya kudumu ya Bunge ya uwekezaji wa mitaji ya Umma leo imetembelea mradi wa maji wa uchimbaji wa Visima Virefu unaoendelea kutekelezwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma, (Duwasa) katika eneo la Nzuguni Jijini Dodoma.…
9 March 2023, 1:23 pm
Siku ya Wanawake Duniani Katavi watakiwa kuondoa vikwazo kwa wanawake
KATAVI Kutokuwa na uhuru wa kushiriki katika shughuli za kimaendeleo,rushwa,na kutokujua sheria zimetajwa kuwa ni changamoto zinazowakabiri wanawake. Akisoma Risala , Bi. Chiku Peter na kuwawakilisha wanawake katika kusherehekea siku ya wanawake duniani iliyofanyika Machi 8 mwaka huu amesema kuwa …
9 March 2023, 1:08 pm
Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, wanawake waaswa kupinga vitendo vya ukatili
KATAVI Katika kuelekea siku ya mwanamke Duniani march 8 mwaka huu ,Wanawake Mkoani Katavi wametakiwa kupinga vitendo vya uvunjifu wa maadili sambamba na vitendo ukatili kwa wanawake na watoto ili kuendelea kutengeneza jamii yenye maadili na usawa Hayo yamebainishwa na…
9 March 2023, 12:52 pm
Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani wanafunzi waaswa kuripoti ukatili
KATAVI Katika kuelekea siku ya wanawake duniani wanafunzi wa kike katika manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameaswa kutoa taarifa kila waonapo ukatili wa kijinsia. Akisoma taarifa afisa maendeleo ya jamii manispaa ya mpanda bi Marietha Mlozi amesema wanaiadhimisha siku ya…
3 March 2023, 2:39 pm
Wakaazi elfu 7,000 kunufaika na mradi wa maji Misisi-Zanzibar katika Halmashauri…
Zaidi ya watu 7,000 ambao ni wastani wa kaya 1000 wanatarajiwa kunufaika na mradi wa maji wa Misisi-Zanzibar katika Halmashauri ya Mji wa Bunda Mkoani Mara. Hayo yamebainishwa na Kaimu Meneja wa Mamlaka ya Maji Bunda BUWASA, Esther Gilyoma wakati…
1 March 2023, 5:14 pm
Nzelenze waiomba serikali huduma ya maji safi na salama
Hatua za kukabiliana na changamoto ya maji vijijini bado zinaendelea ili kuondokana na matumizi ya maji yaliyo tuama na visima vifupi ambayo ni hatari kwa afya za binadamu. Na Victor Chigwada Wananchi wa kitongoji cha Nzelenze Kata ya Itiso Wilaya…