Radio Tadio

Maji

17 Mei 2024, 5:12 um

Pangani DC yafikia 77% ya mapato 2023/24

Ukusanyaji wa mapato ndiyo msingi wa huduma bora kwa wananchi, watendaji wa halmashauri ongezeni nguvu katika makusanyo. Na Cosmas Clement Halmashauri ya wilaya ya Pangani imesema imefanikiwa kukusanya asilimia 77 ya bajeti ya mapato ya ndani, kupitia mapato lindwa na…

Mei 1, 2024, 4:36 um

Nyumba 11 zabomoka kutokana na mvua kubwa,Kijiji cha Mwashimbai

Nyumba zilizoanguka hazikuzingatia ujenzi bora wenye kuvumilia hali ya hewa ya sasa Na Sebastian Mnakaya Zaidi ya nyumba 11 katika kijiji cha Mwashimbai kata ya Ngaya halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga zimeanguka kutokana na changamoto ya mvua zinazoendelea…

16 Aprili 2024, 4:00 um

Amuua mke kisa wivu wa kimapenzi

Matukio ya kujeruhi na kuua wenza wao yamezidi kushamili katika maeneo ya Kanda ya ziwa hasa katika wilaya ya Sengerema ambapo zaidi ya matukio matano yameripotiwa kutokea ndani ya miezi mitatu. Na:Said Mahera Mwanamme mmoja aliyejulikana kwa jina la Jackson…

31 Januari 2024, 08:39

Wizara ya Maji yaishukru UNICEF

Na Ezekiel Kamanga Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) amefanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Wanawake na Watoto Duniani (UNICEF) nchini Tanzania Bi. Elke Wisch. Mazungumzo yamefanyika katika ofisi za…

25 Januari 2024, 16:04

Bilioni 30 kutumika mradi wa maji wa miji 28 Kasulu

Zaidi ya bilioni 30 zimetengwa na Serikali katika halmashauri ya mji kasulu kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa maji wa miji 28 kasulu mjini ambao unajengwa kata ya kumnyika katika halmashauri hiyo. Michael Mpunije Kutoka Wilaya ya Kasulu ametuandalia…

23 Januari 2024, 8:00 um

Aweso aitaka Duwasa kumaliza tatizo la maji UDOM

Kwa mujibu wa makamu mkuu wa chuo kikuu cha Dodoma UDOM anasema chuo hicho kinakadiriwa kuwa na wanafunzi takribani elfu 36 hivyo kuchangia ongezeko la uhitaji wa huduma ya maji katika chuo hicho. Na Thadei Tesha.Waziri wa maji mh Juma…

20 Januari 2024, 9:48 mu

Mradi wa Kata 5 kunufaisha watu zaidi ya laki moja Geita

Serikali imedhamiria kumaliza changamoto ya maji kwa kuendelea kutekeleza miradi mikubwa ya maji hususani vijijini. Mrisho Shabani: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa Bilioni 10.8 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa maji wa…