Radio Tadio

Maji

24 July 2024, 2:37 pm

Mbinu bora za uhifadhi mazao ya chakula

Picha kwa msaada wa mtandao Na Evanda Barnaba Uhifadhi wa mazao ya chakula ni suala muhimu sana, hasa kwa wakulima na jamii zetu kwa ujumla. Mazao mengi yanaharibika baada ya mavuno kutokana na uhifadhi duni, jambo ambalo linaweza kusababisha upungufu…

23 July 2024, 12:39 pm

Mbinu bora za uhifadhi wa mazao ya chakula

Picha kwa masaada wa mtandaoni Na Mwaandishi wetu Evanda Barnaba Jamii na wakulima hawana uelewa wa namna bora ya kuhifadhi mazao ya chakula mwandishi wetu Evanda Barnaba Amemtembelea bwana Maulidi Hashimu kutoka kijiji cha loksale kuzungumza naye mchakato mzima kuanzia…

19 July 2024, 17:29

UWSA Mbeya kuongeza mtandao wa maji taka

Na Sifael Kyonjola Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mkoa wa Mbeya imepanga kuongeza mtandao wa maji taka  na kukarabati ili kuwafikia  wateja wengi zaidi. Hayo yamesemwa na kaimu meneja wa mamlaka ya maji safi  na usafi wa…

19 July 2024, 14:27

Shimo lakatisha maisha ya Anna, Martha Bariadi

“Usalama wa maisha ni jambo muhimu ili kutimiza malengo ya wananchi wetu nchi bila kuhakikisha usalama wa maeneo wanapotoka wananchi hatuwezi kufikia azma ya maendeleo ngazi ya jamii na taifa kwa ujumla” Na Daniel Manyanga Wanafunzi wawili waliotambulika kwa majina…

15 July 2024, 21:10

TVS 150 kupeleka kicheko kwa wateja wa maji mjini Maswa

“Katika kurahisisha wananchi wanapata maji safi na salama wakati wote mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Maswa MAUWASA imepokea vifaa vya usafiri ili kuongeza ufanisi wa kiutendaji”   Na, Daniel Manyanga  Mamlaka ya maji safi na usafi wa…

10 July 2024, 13:03

Wananchi wilayani Meatu wachangia maji na ng’ombe

“Maji ni uhai kwa binadamu lakini wananchi wa wilaya ya Meatu wapo hatarini kupata magonjwa yatokanayo na kutumia maji  ya visima na mabwawa wao pamoja na mifugo ’’ Na,Daniel Manyanga Wakazi wa kata ya Mwandoya wilayani  Meatu, mkoani Simiyu wameiomba…