Radio Tadio

Maji

19 Novemba 2024, 8:53 um

Kipindupindu ni zaidi ya vita Simiyu, Amref watia nguvu

“Adui wa maendeleo ni maradhi hatuwezi kufanya kazi za kiuchumi wakati huo wananchi wanachangamoto ya kiafya hivyo jukumu letu ni usalama kwanza wa raia”. Na, Daniel Manyanga Shirika la Amref  Heath of Africa chini ya mradi wa Afya Thabithi unatekelezwa…

19 Novemba 2024, 3:36 um

RC Kihongosi achukizwa na siasa za chuki kwa vyama vya siasa

“Nchi yetu inafata misingi ya kidemokrasia hivyo linapofika swala la uchaguzi hatutaki siasa za chuki ambazo zitaliingiza Taifa kwenye migogoro ya kisiasa  ambayo ni adui wa maendeleo ya wananchi.”  Na, Daniel Manyanga  Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi amevitaka vyama…

8 Novemba 2024, 4:00 um

Maswa:Kanda ya ziwa kinara kwa uharibifu wa mazingira

“Wakati dunia inapambana na mabadiliko ya tabia nchi utokanao na uharibifu wa mazingira haswa katika matumizi ya nishati ya kuni na mkaa kanda ya ziwa kinara kwa uharibifu wa mazingira”. Na, Daniel Manyanga Zaidi ya hekta laki nne hupotea nchini…

6 Novemba 2024, 5:48 um

Bilioni 440 kumtua mama ndoo kichwani Simiyu

“Uhai ni maji na wanasayansi wanasema robo tatu ya dunia na mwili wa binadamu ni maji kwa kulitambua hilo wananchi waipongeza serikali kwa miradi ya maji”. Na, Daniel Manyanga Wananchi mkoani Simiyu wanaopata maji kwa kusuasua kutokana na kukosa vyanzo …

26 Oktoba 2024, 07:51

REGROW kutatua changamoto za wananchi maeneo ya hifadhi

Malalamiko yatasikilizwa kwa umakini, na utapata mrejesho mara moja. Hifadhi ya Taifa Ruaha na Mradi wa REGROW wanahakikisha usalama na ustawi wa jamii yako. REGROW ni Mradi wa Serikali unaofadhiliwa na Benki ya Dunia kwa Lengo la kuboresha usimamizi wa…

20 Oktoba 2024, 8:20 um

UVCCM Geita yaonya madai ya vijana kutishwa

Joto la uchaguzi wa serikali za mitaa limeendelea kupanda kila kukicha huku vijana wakianza kuona dalili za kukatishwa tamaa kuwania nafasi za uongozi. Na Mrisho Sadick: Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita umekemea vikali madai…