Maji
1 March 2023, 5:14 pm
Nzelenze waiomba serikali huduma ya maji safi na salama
Hatua za kukabiliana na changamoto ya maji vijijini bado zinaendelea ili kuondokana na matumizi ya maji yaliyo tuama na visima vifupi ambayo ni hatari kwa afya za binadamu. Na Victor Chigwada Wananchi wa kitongoji cha Nzelenze Kata ya Itiso Wilaya…
28 February 2023, 4:58 pm
Uzalishaji wa maji Dodoma waongezeka kwa asilimia 6.3
Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira imefanikiwa kupunguza upotevu wa maji kutoka wastani wa asilimia 39.1 na kufika asilimia 28.3 Disemba mwaka 2022. Na Selemani Kodima . Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira mkoani Dodoma DUWASA imetaja…
18 February 2023, 10:07 pm
Waziri mkuu ashuhudia utiaji saini Mradi wa Maji vijiji 55
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa mradi wa maji utakaogharimu takribani shilingi bilioni 120 unaotekelezwa katika vijiji 55 vya wilaya za Ruangwa (vijiji 34) na Nachingwea (vijiji 21) mkoani Lindi. Amesema mradi huo ambao…
17 February 2023, 4:19 pm
Wizara ya Maji Yaikumbuka Ilalasimba
Ujenzi wa mradi huo wa bwawa la Ilalasimba katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa uliofanyiwa upembuzi yakinifu tangu mwaka 2018 sasa watarajiwa kujengwa. Na Hawa Mohammed. Zaidi ya shilingi bilioni mbili (2) zimetengwa na Wizara ya maji kwa ajili ya…
25 January 2023, 4:40 am
Upatikanaji wa Maji Mlowa barabarani bado ni changamoto
Na; Victor Chigwada. Licha ya maboresho kufanywa katika kisima cha maji katika kata ya Mlowa barabarani lakini bado upatikanaji wa huduma ya maji katika kata hiyo unasuasua. Wananchi wa Kata ya Mlowa barabarani wamesema kuwa licha ya uwepo wa kisima…
21 January 2023, 10:13 am
Wakazi wa Igungulile walazimika kutumia maji ya Mabwawa
Na; Victor Chigwada. Kukosekana kwa huduma ya Maji safi na salama imetajwa kuwa ni sababu ya Wananchi wa kijiji cha Igungulile wilayani Chamwino kutumia maji ya mabwawa. Mwenyekiti wa kijiji cha Igungulile Bw.Hamisi Msangi amesema changamoto ya maji imesababisha wananchi…
20 January 2023, 3:12 pm
Serikali yatatua kero ya maji Mvumi Misheni
Na; Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Mvumi misheni Wilayani Chamwino wameipongeza na kuishukuru Serikali ya awamu ya sita kwa juhudi za kutatua changamoto ya maji Wakizungumza na taswira ya habari wananchi hao wamesema kuwa kujengwa kwa mradi huo wa …
13 December 2022, 9:23 am
Jamila Yusuph aiagiza Ruwasa kukamilisha mradi wa maji Mwamkulu.
MPANDA Mamlaka ya maji manispaa ya mpanda Ruwasa imeagizwa kuhakikisha mradi wa maji katika kata ya mwamkulu unakamilika ili kupunguza adha kwa wananchi. Rai hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph wakati akifanya ziara ya ukaguzi wa…
20 October 2022, 12:20 pm
Wakazi wa Chenene walia na uhaba wa maji
Na; Benard Filbert. Kusuasua kwa upatikanaji wa huduma ya maji katika kijiji Cha Chenene wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma imetajwa kuwa kero kwa wakazi wa eneo . Taswira ya habari imefika katika kijiji cha Chenene nakujionea hali halisi ya upatikanaji…
19 October 2022, 8:57 am
Serikali yaahidi kutatua changamoto ya maji Chunyu
Na;Mindi Josph . Serikali imeahidi kuchimba visima vya maji ili kutatua changamoto ya maji inayowakabili wananchi wa kijiji cha chunyu wilayani Mpwapwa. Wakizungumza na Taswira ya habari baadhi ya wananchi wa Kijiji hicho wamesema hadi sasa wanatumia maji chumvi ambayo…