Radio Tadio

Maji

September 29, 2023, 9:39 pm

Biteko amtaka Aweso kufanya ziara kata ya Murusagamba

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dr.Dotto Mashaka Biteko amemtaka Waziri wa Maji Juma Aweso kufanya ziara katika kata ya Murusagamba wilayani Ngara ili kutatua changamoto ya maji kwa wananchi hao. Na, Marco Pastory: Naibu Waziri Mkuu na Waziri…

27 September 2023, 12:45 pm

Wakazi wa Mcharo Sasa waanza kunywa maji ya Bomba

Wakazi wa Mcharo Sasa waanza kunywa maji ya Bomba ni ule mradi unaotekelezwa na RUWASA ambao mwenyekiti wa mtaa alinusurika kupigwa Na Adelinus Banenwa Wakazi wa Mcharo Sasa waanza kunywa maji ya Bomba ni ule mradi unaotekelezwa na RUWASA ambao…

27 September 2023, 12:24 pm

Jamii yaaswa kuendelea kutunza vyanzo vya maji

Lengo la upimaji wa maji ya mto huo ni kutaka kubaini hali ya afya ya mto Tigite katika vigezo vya asili na vya kisayansi, kazi hiyo imefanyika leo 26 sept 2023 Na Thomas Masalu. Maji ni kichocheo muhimu cha maendeleo…

26 September 2023, 6:00 pm

Uhaba wa maji wahatarisha usalama wa wanafunzi Vilindoni

Na Mindi Joseph. Ukosefu wa Maji katika shule ya msingi Vilindoni imeendelea kuhatarisha usalama wa wanafunzi.Wanafunzi wa Shule hiyo wanalazimika kubeba dumu la lita tano ya maji kutoka nyumbani wengine wakifunga safari kwenda kuchota maji katika Visima.Mwenyekiti wa kamati ya…

26 September 2023, 3:25 pm

WWF, wadau wapima maji mto Tigite-Tarime

Shirika la WWF kwa kushirikiana na bonde la Ziwa Victoria wamefanya zoezi la kupima maji ya mto Tigite uliopo kijiji cha Matongo kata ya Matongo wilaya ya Tarime ili kubaini afya ya mto huo katika vigezo vya asili na vya…

21 September 2023, 18:46

TAEEs yatoa mafunzo kwa bodi za maji 15 Mufindi

Na Kelvin Mickdady -MufindiFM Bodi za kusimamia vyanzo na usafi wa maji wilayani Mufindi zimetakiwa kuboresha mfumo wa ufanyaji kazi ili kuongeza mapato ya serikali kupitia bodi hizo.Hayo yamesemwa na mwenyekiti wa halmshauri ya wilaya ya Mufindi Mhe. Festo Mgina…

19 September 2023, 4:31 pm

Mradi wa maji wa Nzugumi wafikia asilimia 87

Mkoa wa Dodoma unazalisha nusu ya mahitaji ya maji ambapo mahitaji ya maji ni lita Milion 133 kwa siku na yanayozalishwa ni lita milion 67.8 hivyo kuwa na upungufu wa lita Milioni 66.7 kwa siku. Na Mindi Joseph. Mradi wa…

13 September 2023, 18:43

Umeme waleta mgao wa maji mkoani Mbeya

Maji ni uhai, viumbe wote hai wanategemea maji hata nje ya viumbe hai bado kumekuwa na uhitaji wa maji,nchi ya Tanzania imekuwa ikitegemea maji kuzalisha nishati ya umeme hivyo maji ni kila kitu kwenye shughuli yoyote ya binadamu. Na Hobokela…