Maendeleo
8 June 2022, 3:45 pm
TUWEZESHENI, TUKAWAWEZESHE
Wanachama wa Chama cha wafugaji wa ngombe wa maziwa cha Kashauriri Livestock Keepers kilichopo Wilayani Mpanda wameomba kuwezeshwa na taasisi za fedha kwa lengo la kujikwamua kiuchumi na kutoa fursa ya ajira kwa jamii. Wakizungumuza wakati wa kilele cha maadhimisho…
26 May 2022, 1:27 pm
VIJIJI SABA KUNUFAIKA NA UPATIKANAJI WA MAJI KATAVI
Vijiji saba vilivyopo ndani ya Wilaya ya Mpanda mkoani katavi vitanufaika na upatikanaji wa maji kupitia Wakala wa maji na usafi wa Mazingira vijijini (RUWASA) katika mwaka wa fedha 2022/23. Akizungumza na Mpanda Radio FM Meneja wa RUWASA Wilayani Mpanda…
23 May 2022, 2:34 pm
MIL. 470 KUWANUFAISHA SHULE MAALUM MSAKILA
Jumla ya shilingi million 470 zimetolewa katika wilaya ya Tanganyika kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya msingi katika shule maalumu ya msakila. Akizungumza na Mpanda radio fm kaimu mkurugenzi wa wilaya ya Tanganyika Betuel Luhega wakati wa ziara ya…
28 April 2022, 1:10 pm
Bunda: Grumeti Fund washiriki zoezi la amwani za makazi kwa kutoa vibao 31 vyeny…
Kampuni ya Grumeti Fund wameshiriki zoezi la anwani za makazi kwa kuchangia kuto vibao vya anwani za makazi 31 vyenye thamani ya zaidi ya shilingi million mbili Akizungumza katika makabidhiano hayo mwakirishi wa kampuni ya Grumeti Fund, Davidi Mwakipesile amesema…
December 16, 2021, 12:32 pm
KAHAMA:Serikali ya manispaa ya kahama imezindua mwongozo wa Taasisi ya kuzuia n…
Serikali ya manispaa ya Kahama imezindua mwongozo wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU kwa vijana wa skauti ili kuwawezesha kupambana na rushwa katika maeneo yao…… Katibu tawala wa manispaa ya Kahama TIMOTHY NDANYA ambae amezindua mpango huo…
3 September 2021, 1:15 pm
Wakazi wa Mkoka walalamikia tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara
Na ;Victor Chigwada. Changamoto ya kukatika kwa umeme pamoja na uhafifu wa upatikana wa huduma hiyo katika Kata ya mkoka Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma umeelezwa kuchangia kushusha uchumi wa wananchi kwa ujumla. Baadhi ya wananchi hao wakizungumza na taswira ya…
26 August 2021, 1:44 pm
Mradi wa kufua umeme Zuzu watajwa kufikia asilimia 98.
Na;Mindi Joseph . Mradi wa kituo cha kufua umeme Zuzu umetajwa kufikia asilimia 98 huku ukitarajiwa kufunguliwa Rasmi Septemba 30 mwaka huu. Mradi huo utakuwa na uwezo wa kusambaza umeme ndani ya Nchi pamoja na Nchi jirani.Katika Mkoa wa Dodoma…
15 July 2021, 12:05 pm
Wakazi wa kata ya Iyumbu waishukuru serikali kwa kuwatatulia changamoto ya umeme
Na; Victor Chigwada. Wananchi katika Kata ya Iyumbu Jijini Dodoma wameishukuru Serikali kwa jitahada walizo zichukua katika kutatua changamoto ya umeme ndani ya Kata hiyo. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi hao wamesema wanayo furaha kuona muda si…
13 July 2021, 1:20 pm
Moleti waiomba Serikali kuwapelekea huduma ya umeme
Na; Benard Filbert. Wakazi wa Kijiji cha Moleti Wilaya ya Kongwa wameiomba Serikali kuharakisha kuwaunganishia huduma ya umeme wa REA kutokana na kuchangishwa fedha takribani mwaka mmoja uliopita. Wamesema hayo wakati wakizungumza na Dodoma fm ambapo wamedai kuwa baadhi ya…