
Maendeleo

2 September 2024, 10:59 am
Wananchi watoa maoni mapendekezo bei mpya ya umeme
Kwa sasa bei za Uniti za Umeme Nchini Tanzania zinatofautiana kulingana na matumizi na Ruzuku za Serikali. Na Seleman Kodima. Wakazi wa Jiji la Dodoma wamekuwa na maoni tofauti juu ya mapendekezo yaliyotolewa Bungeni Jijini Dodoma juu ya mapatio mapya…

22 August 2024, 4:45 pm
CCM wilaya ya Geita yatoa tamko ufatiliaji wa miradi
CCM wilaya ya Geita kuwachukulia hatua baadhi ya wajumbe ambao wamekuwa wakitumia pikipiki za chama hicho kusafirisha abiria jambo ambalo ni kinyume na malengo. Na: Kale Chongela – Geita Katibu wa CCM wilaya ya Geita ndugu Marko Msuya leo Agosti 22,…

21 August 2024, 6:25 pm
Wakandarasi wanaotekeleza miradi ya REA watakiwa kufanya kazi kwa uadilifu
Picha ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt Dotto Biteko akizungumza katika hafla ya Utiaji Saini Mikataba ya utekelezaji wa Miradi wa Kupeleka Umeme katika vitongoji 3,060 (15 kila Jimbo) jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Nishati. Vitongoji takribani…

20 August 2024, 4:55 pm
TANESCO Kufanya maboresho ya mfumo wa mita Kanda ya Kati na Kaskazini
Zoezi la maboresho ya mfumo wa mita za LUKU limeshafanyika katika kanda tofauti hapa nchini ambapo ukomo wa zoezi hilo ni Novemba 24 mwaka huu. Na Selemani Kodima. Shirika la Umeme Tanzania TANESCO limesema linatarajia kufanya maboresho ya mfumo wa…

29 July 2024, 7:53 pm
Umeme wa REA waimarisha huduma za afya Hombolo Bwawani
Mikoa mingine inayotekelezwa na mradi huo ni Mwanza, Kagera, Simiyu, Arusha, Pwani, Lindi na Mtwara. Na Mindi Joseph.Baadhi ya Wananchi kutoka katika Mitaa ya Kolimba na Hombolo Bwawani Kata ya Hombolo Jijini Dodoma wamesema uwepo wa huduma ya Umeme wa…

25 July 2024, 10:34 am
M/Kiti UVCCM wilaya ya Geita ahimiza vijana kujiandikisha
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM mkoa wa Geita Manjale Magambo amewataka vijana kujitokeza katika kwenda kujiandikisha katika daftari la mpinga kura. Na: Kale Chongela – Geita Mwenyekiti wa UVCCM Manjale Magambo akiwa katika mkutano wa hadhara uliofanyika Julai 22,…

20 July 2024, 6:28 pm
Mbunge awataka wananchi kujitokeza kujiandikisha kupiga kura
Mbunge wa jimbo la Busanda amekuwa na mwendelezo wa kufanya mikutano ya hadhara kwenye jimbo lake yenye lengo la kusikiliza kero kutoka kwa wananchi. Na;Elisha Magege Mbunge wa Jimbo la Busanda Mhandisi Tumaini Magesa amewaomba wananchi wote wa Jimbo hilo…

9 July 2024, 2:41 pm
Jamii yakumbushwa kuacha kutumikisha watoto Geita
Jamii imekumbushwa kuwalinda watoto dhidi a vitendo hatarishi ili kupunguza ukatili ambao unaendelea kwenye jamii. Imeelezwa kuwa kumekuwepo na ongezeko la watoto wanaoishi mazingira magumu (mitaani) katika mtaa wa Msalala road uliopo kata ya Kalangalala halmashauri ya mji wa Geita…

24 June 2024, 7:34 am
CCM yaagiza viongozi wazembe washughulikiwe Geita
Viongozi wazembe wanaokwamisha miradi na wenye dharau wamekalia kuti kavu mkoani Geita baada ya katibu wa NEC kuagiza wasakwe na wachukuliwe hatua. Na Mrisho Sadick: Katibu wa NEC Organization na mlezi wa CCM Mkoa wa Geita Issa Haji Ussi GAVU…

12 June 2024, 14:43
Serikali kupunguza kero kukatika umeme kwa kuanzisha njia mbadala
Shirika la umeme TANESCO limeboresha huduma za nishati hiyo na kupunguza kukatikatika kwa umeme kwenye maeneo mengi nchini. Na Hobokela Lwinga Serikali kupitia shirika la umeme Tanzania TANESCO linatekeleza uanzishwaji wa vyanzo mbalimbali vya uzalishaji umeme ili kuondokana na kero…