Radio Tadio

Maendeleo

16 February 2023, 4:47 am

Vijana Waaswa Kuchangamkia Fursa za Mikopo ya Halmashauri

TANGANYIKA Vijana Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wametakiwa kutumia fursa ya mikopo ya asilimia nne ili kujikwamua kiuchumi. Hayo yamesemwa na Mjumbe wa baraza kuu la UVCCM Mkoa wa Katavi Mhandisi Debora Joseph katika kikao cha baraza kilichofanyika…

8 February 2023, 12:35 pm

Unatumiaje Mabadiliko ya Tabianchi Kama Fursa

MPANDA Wananchi wa manispaa ya mpanda mkoani katavi wameshauriwa kutambua fursa zinazo patikana kupitia mabadiliko ya tabia nchi. Hayo yamesemwa na kaimu kituo Cha Hali ya Hewa mkoa [TMA] Boniface Mathew ambapo amesema mabadiliko yanapotokoea wananchi wanatakiwa kuwa wabunifu katika…

8 February 2023, 12:19 pm

Uzinduzi wa REAT Mkoani Katavi

KATAVI Wafanya kazi wastaafu mkoani Katavi wametakiwa kuendelea kuwa wazalendo na kuipenda nchi na kutoa mawazo chanya kwa jamii inayowazunguka. Hayo yamesemwa na afisa maendeleo Anna Kumbi kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko Katika uzinduzi wa…

7 February 2023, 10:19 pm

Kesi Zimalizwe kwa Usuluhishi Kuokoa Muda

KATAVI Wananchi mkoani katavi wameshauriwa kumaliza kesi za madai kwa njia ya usuluhishi ili kuondoa gharama na kutopoteza muda. Hayo yamesemwa na Hakimu mkazi mkuu mfawidhi mkoa katavi Gway Sumaye alipokuwa akitoa hotuba katika hitimisho la wiki ya sheria ambapo…

4 February 2023, 10:35 am

Mkuu wa Wilaya ya Mufindi aapishwa kuanza majukumu yake

Nendeni Mkawe mstari wa mbele kufanya kazi kwa manufaa ya wananchi wenu ili kumrahisishia kazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na Joyce Buganda Mkuu wa Mkoa wa Iringa Halima Dendego amemuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Linda Selekwa …