Lishe
30 June 2023, 5:34 pm
Familia zatakiwa kuzingatia lishe bora Bahi
Ulaji unaofaa kwa kuzingatia makundi matano ya vyakula unajenga kinga ya mwili na kukabiliana na maambukizi ya magonjwa mbalimbali. Na Mindi Joseph. Jamii imehimizwa kuendelea kuzingatia mlo kamili ikiwemo makundi matano ya chakula ili kujenga familia zenye afya bora. Savera…
1 June 2023, 1:17 pm
Wadau wa lishe waombwa kuisaidia jamii kufahamu umuhimu wa lishe bora
Jamii inapaswa kuzingatia ulaji wa mlo kamili unaojumuisha makundi yote ya vyakula vya jamii ya nafaka, ya mizizi, ya wanyama, ya mikunde mbogamboga matunda sukari na asali. Na Bernadetha Mwakilabi. Wadau wa lishe nchini wameombwa kusaidiana na serikali kuisaidia jamii…
26 May 2023, 10:42 am
Magogo yapigwa marufuku buchani
MPANDA Wadau wanaozalisha mazao yatokanayo na mifugo mkoa wa Katavi , wametakiwa kufuata sheria, ikiwemo kuboresha usafi katika mabucha, na kuepuka matumizi ya magogo na vyuma vyenye kutu ili kulinda afya ya walaji. Maagizo hayo yametolewa na Afisa Mfawidhi wa…
2 May 2023, 9:18 pm
Wananchi Waomba Elimu ya Lishe kwa Wajawazito
KATAVI. Baadhi ya wananchi wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameomba kupatiwa elimu juu ya umuhimu wa lishe bora kwa mama mjamzito. Wakizungumza na kituo hiki wananchi hao wamesema hawapatiwi elimu juu ya lishe bora kwa mama mjamzito zaidi ya…
26 April 2023, 11:48 am
Iringa yaanza kutekeleza afua za lishe kutokomeza udumavu kwa watoto
Na Adelphina Kutika Mkoa wa Iringa wenye asilimia 59.9 ya udumavu umeanza kutekeleza mpango wa utekelezaji wa afua za lishe zinazolenga kukabiliana na changamoto hiyo na utapiamlo kwa watoto chini ya miaka mitano. Afisa lishe mkoa wa Iringa Anna Nombo…
17 April 2023, 4:50 pm
Wananchi wakosa elimu ya mboga lishe
Mboga lishe ni miongoni mwa bidhaa za mbogamboga zinazopatikana katika masoko mbalimbali jijini Dodoma ingawa bidhaa hii imekuwa ikipatikana kwa uchache . Na Thadei Tesha. Baadhi ya wafanyabiashara wa mboga lishe jijini Dodoma wamesema kuwa ukosefu wa elimu pamoja na…
31 March 2023, 6:21 pm
Halmashauri ya jiji la Dodoma yahitimisha maadhimisho ya siku ya Afya na Lishe.…
Maadhimisho hayo yalianza Mwezi januari na kuhitimishwa leo Machi 31 katika hospitali ya Makole iliyopo hapa jijini Dodoma. Na Fred Cheti. Halmashauri ya Jiji la Dodoma imehitimisha maadhimisho ya siku ya afya na Lishe ya mtoto ambayo ilianza kuadhimishwa katika…
20 March 2023, 6:10 am
Wananchi Katavi Walia na Bei ya Mahindi
KATAVI Wananchi Mkoani Katavi wameiomba serikali kuangalia uwezekano wa Kusimamia ili kushusha bei ya Mahindi ambayo bado imeonekana kuwa kubwa kwa wananchi. Wakizungumza na Mpanda Redio fm wananchi hao wamesema serikali isimamie kwa ukaribu juu ya kuangalia namna ya kushusha…
15 February 2023, 3:08 pm
Wananchi Waaswa kula mlo wenye Makundi 5 ya Chakula.
Wananchi Wilayani Maswa wameaswa kula chakula chenye Makundi Matano ya chakula Bora ili Kuimarisha Afya. Hayo yamesemwa mapema hii leo na Afisa Lishe Halmashauri ya Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Ndugu Abel Gyunda Wakati akitoa Elimu ya Masuala ya Lishe…
1 February 2023, 11:51 am
Mrindoko Atoa Siku Saba Majibu ya Mkataba wa Lishe
KATAVIMkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko ametoa siku saba kwa wakurugenzi wa halmashauri, waganga wakuu walaya na maafisa lishe kutoa maelezo ya kina kwa maandishi kwa kushindwa kusimamia mkataba wa lishe. Agizo hilo amelitoa wakati wa kikao cha kujadili…