Radio Tadio

Kilimo

4 February 2025, 9:47 am

Wezi waiba na kuchinja ng’ombe wawili Nyankumbu

Matukio ya mifugo aina ya ng’ombe kuibiwa na kuchinjwa nyakati za usiku yameendelea kuacha maswali kwa wananchi katika mitaa mbalimbali ya manispaa ya Geita. Na: Edga Rwenduru – Geita Wakazi wa mtaa wa Elimu kata ya Nyankumbu halmashauri ya manispaa…

4 February 2025, 09:45

TAKUKURU Geita yabaini udanganyifu miradi ya maendeleo

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU mkoa wa Geita imebaini mapungufu makubwa kwenye miradi 4 yenye thaani ya shilingi bilioni 1 milioni 45 na laki 6 kati ya miradi 34 yenye thamani ya shilingi bilioni 16.6 iliyofanyiwa ufuatiliaji mkoani humo…

31 January 2025, 13:07

Watumishi wa umma watakiwa kuzingatia utawala bora Buhigwe

Watumishi wa umma Wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia utawala bora ili kuhakikisha wanafikia azma ya kufikisha maendeleo kwa wananchi. Na Emmanuel Kamangu Katibu tawala wa Wilaya ya Buhigwe Utefta Mahega amewataka Watumishi wa umma Wilaya ya…

31 January 2025, 12:11

Madiwani wapitisha bajeti ya shilingi bilioni 68.3 Geita

Madiwani katika Halmashauri ya Manispaa ya Geita wamesema bajeti hiyo itaenda kusaidia katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa wananchi Na Samwel Masunzu – Geita Baraza la madiwani la halmashauri ya manispaa ya Geita mkoani Geita limepitisha rasmu ya makadirio…

31 January 2025, 11:25

TAKUKURU Kigoma yabaini mapungufu miradi 31 ya maendeleo

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Kigoma imebaini mapungufu madogo madogo katika miradi 31 ya maendeleo kati ya miradi 32. Na Orida Sayon Akitoa taarifa ya ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo katika kipindi cha kuanzia mwezi…

28 January 2025, 14:37

RC Kigoma akabidhi pikipiki na gari kusambaza chanjo

Serikali imesema itahakikisha inawafikia watoto katika zoezi la usambazaji wa chanzo katika wilaya za mkoa wa kigoma Na Josephine Kiravu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye amekabidhi pikipiki 12 pamoja na gari moja kwa ajili ya kusambaza chanjo katika…

24 January 2025, 08:42

‘Wananchi bado wana uelewa mdogo wa kisheria’

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye amewataka wananchi kujitokeza kushiriki kwenye kampeni ya Mama Samia Legal Aid ili waweze kupata elimu ya masuala ya kisheria. Na Josephine Kiravu Imeelezwa kuwa uelewa wa kisheria kwa wananchi hasa wanaoishi maeneo ya…

20 January 2025, 11:44

Wakuu wa kaya watakiwa kujenga vyoo bora

Ujenzi wa vyoo bora kwa kila kaya inatajwa kuwa sehemu ya mapambano dhidi ya magonjwa ya mlipuko ikiwemo kipindupindu. Na Michael Mpunije Wakuu wa kaya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kujenga vyoo bora na kuzingatia kanuni za…