Radio Tadio

Kilimo

31 January 2024, 7:59 am

Wakulima wapatiwa elimu ya kukabiliana na mvua nyingi

Mifugo na baadhi ya mazao hutegemea ufanisi wa wataalamu hususani inapokuja mabadiliko ya hali hewa hivyo ni vyema kufuata ushauri wataalamu wa kilimo pamoja na mifugo. Na Victor Chigwada .Wakulima na wafugaji wa kata ya Handali wilaya ya Chamwino wameendelea…

23 January 2024, 08:43

Nchi 17 kufanya utafiti zao la mpunga nchini

Na mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde. Juma Zuberi Homera amefungua Mkutano wa Afrika ambao umeandaliwa na Tasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa zao la Mpunga Internation Rice Research Institute (IRRI) na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania…

18 January 2024, 20:27

DC Malisa: Wahujumu uchumi mbolea ya ruzuku kukiona Mbeya

Na Hobokela Lwinga Mkuu wa wilaya ya Mbeya Mkoani Mbeya Mh.Beno Malisa ametoa onyo kali kwa wakulima,mawakala wa mbolea na wanaoshiriki kuhujumu mpango wa mbolea ya ruzuku iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan…

18 January 2024, 15:33

Wakulima wa chai Rungwe wavikataa vyama vya ushirika

Na Ezra Mwilwa Wakulima wa zao la chai wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wameviomba vyama vya ushirika kuwalipa mapema malipo yao ili waweze kuendeleza kilimo hicho kwa ufanisi. Mwenyekiti wa wakulima hao Ndg. Asajile Mwasampeta amesema wamekua wakipata changamoto ya…

16 January 2024, 14:16

Mahindi Rungwe yaanza kukauka

Na mwandishi wetu Katika Ukanda wa juu na kati katika Halmashauri ya wilaya ya Rungwe baadhi ya mashamba mahindi yameanza kukauka. Pamoja na kukauka bado mvua inaendelea kunyesha katika kata zote ikilenga kustawisha mazao mbalimbali. Wakulima Mnakumbushwa kuvuna kwa wakati…

12 January 2024, 08:28

Serikali yatoa pikipiki 4 kwa maafisa ugani Kigoma

Serikali imetoa pikipiki 4 zenye thamani ya shilingi Milioni 12 kwa maafisa ugani wa idara ya mifugo na uvuvi katika Manispaa ya Kigoma ili kurahisisha kufanya kazi ya kutoa Elimu kwa wafugaji, wakulima na wavuvi ili wazalishe kwa tija. Na…

20 December 2023, 10:03 pm

Maafisa ugani Hai wakabidhiwa pikipiki

Kwa upande wake kaimu wa idara ya mifugo,kilimo na uvuvi ndugu Fraiten Mtika amemshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia suluhu Hassan kwa kuwaletea pikipiki hizo mpya ambazo ni vitendea kazi muhimu kwaajili ya kuwafikia wananchi na…