Radio Tadio

Kilimo

6 Oktoba 2025, 10:03

Wanafunzi walia na wazazi kuwachagulia masomo Kigoma

Wito umetolewa kwa wazazi na walezi kuwaunga mkono watoto wao katika masomo wanayopenda kusoma na kuacha kuwalazimisha kusoma masomo ambayo hawayawezi Na Emmanuel Kamangu Wanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari Mikamba Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma wamewaomba…

22 Septemba 2025, 14:03

Mwenge wa uhuru wazindua kituo cha sayansi Buhigwe

Jumla ya miradi 7 ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 2 wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma imetembelewa,kuzinduliwa na mingine kuwekewa mawe ya msingi na kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru Kitaifa Ismail Ali Ussi. Na Emmanuel Kamangu…

17 Septemba 2025, 15:06

Ussi akoshwa na mradi wa nyumba za walimu Kasulu

Katika kuthamini mchango wa watumishi  wa Umma, Serikali imeendelea kuimarisha mazingira ya kutolea huduma ikiwemo kujenga nyumba kwa ajili ya makazi ya watumishi ili kuongeza ufanisi katika utendaji kazi wao. Na Hagai Ruyagila Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru…

3 Septemba 2025, 19:01

Jamii Manyara yatakiwa kuwapa watoto lishe bora

Jamii mkoani Manyara imetakiwa kuhakikisha watoto wote kuanzia umri wa miaka 0 hadi 8 wanapata lishe bora na huduma za malezi jumuishi ili iwasadie katika ukuaji . Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa leo na mwakilishi wa Katibu Tawala Mkoa…

2 Septemba 2025, 16:48

Mtendaji atuhumiwa kuhamisha fedha za miradi ya maendeleo

Mtendaji wa Kata ya Sakina, mkoani Arusha, anatuhumiwa kuhamisha baadhi ya fedha za miradi ya maendeleo na kuziweka kwenye akaunti yake binafsi, hali iliyosababisha kusimama kwa ujenzi wa kivuko muhimu kwa wakazi wa eneo hilo. Na Jenipha Lazaro Tuhuma hizo…

27 Agosti 2025, 13:56

Kasi watoto wa kike kupenda masomo ya sayansi yaongezeka

Idadi ya watoto wa kike wanaosoma masomo ya sayansi imeendelea kuongezeka na hiii ni kutokana na jitihadi mbalimbali za Serikali na wadau wengine katika kuwahamasisha kupenda masomo ya sayansi Na Hagai Ruyagila Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma imefanikiwa kutumia…

25 Agosti 2025, 16:37

Wamiliki shule waaswa kuendana na mabadiliko ya mtaala mpya

Mmiliki wa shule za Hekima zilizopo Mjini Kasulu Mkoani Kigoma Fedia Yaredi amesema ataendelea kusimamia shule hizo ili zieweze kutoa elimu bora kwa watoto Na Hagai Ruyagila Wamiliki wa shule binafsi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wameshauriwa kukubaliana na mabadiliko ya…