Kilimo
5 Mei 2023, 5:04 mu
Katavi Yataraji Kuzalisha Milioni 15.5 za Tumbaku
NSIMBO Mkoa wa Katavi unatarajia kuongeza uzalishaji wa zao la Tumbaku kwa msimu huu kwa kuzalisha jumla ya kilo Milioni 15. 5. Akizungumza wakati akitoa taarifa ya maendeleo ya kilimo cha Tumbaku Mkoa wa Katavi Meneja Mkoa wa Bodi ya…
1 Mei 2023, 4:53 um
Wakulima wa Alizeti walalamika uzalishaji hafifu
Katika mwaka 2019/2020 uzalishaji wa alizeti nchini umefikia tani 649,437 ikilinganishwa na tani 561,297 kwa mwaka 2018/2019. Na Mindi Joseph. Wakati Mkoa wa Dodoma ukitegemewa zaidi katika uzalishaji wa mafuta ya alizeti wakulima wamesema mwaka huu uzalishaji wao ni hafifu.…
1 Mei 2023, 1:08 um
Watanzania wahimizwa kutumia mbolea isiyo zeesha ardhi
Mbolea inayo zalishwa katika kiwanda hiki cha Intracom kinachopatikana katika kata ya Nala jijini Dodoma inatengenezwa kwa samadi za wanyama na haizeesha ardhi. Na Fred Cheti Mkuu wa wilaya ya Dodoma Mh. Jabair Shekimweri amewataka wakazi wa Dodoma na watanzania…
28 Aprili 2023, 3:11 um
Zaidi ya hekari 6000 zatengwa kwaajili ya blockfarm Kongwa
Mkuu wa wialaya amewaomba madiwani kuwahimiza wananchi kuhusu suala la uhifadhi wa chakula hususani katika kipindi hiki Cha mavuno Kwani wengi wao wamekuwa wakiuza mazao Kwa kasi badala ya kuhifadhi kwaajili ya msimu ujao. Insert 2 sec 00:34 NA Bernadetha…
27 Aprili 2023, 6:54 um
Wakulima Kongogo waahidiwa mashine za kisasa
Na Mindi Joseph. Mbunge wa Jimbo la Bahi, Kenneth Nollo amewaahidi wakulima wa Kongogo kuwanunulia mashine za kisasa za kupandia mpunga pindi tu ujenzi wa skimu ya umwagiliaji utakapokamilika 2024. Akizungumza na Wakulima hao amesema wilaya ya bahi imekuwa ikizalisha…
27 Aprili 2023, 5:52 um
Mpunga Hatarini Kuharibika kwa Mvua
MPANDA Baadhi ya Wananchi wa Kata ya Mwamkulu manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamehofia kuharibika kwa zao la mpunga uliopo shambani kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Wakizungumza na kituo hiki wamesema kuwa kuna hatari ya kupoteza mazao ya mpunga kutokana…
26 Aprili 2023, 3:54 um
Wakulima wa zabibu waomba elimu ya kuongeza thamani zao hilo
Zabibu huzalisha bidhaa mbalimbali ikiwemo Mvinyo, Sharbati, jamu pamoja na nyingine nyingi lakini elimu ya kuongeza thamani zao hili bado ni ndogo sana kwa wakulima. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wakazi wa jiji la Dodoma wameiomba serikali kuendelea kutoa elimu…
25 Aprili 2023, 6:07 um
Tume ya Taifa ya umwagiliaji kukarabati skimu za umwagiliaji
Mwezi wa tano Tume ya taifa ya umwagiliaji inatarajia kutia saini mikataba 8 yenye zaidi ya thamani ya zaidi ya shilingi Bilion 59. Na Mindi Joseph. Tume ya Taifa ya umwagiliaji leo imetia saini mikataba 4 ya ujenzi na ukarabati…
24 Aprili 2023, 4:04 um
Wananchi watakiwa kutambua kilimo cha umwagiliaji ni cha uhakika
Dodoma ni miongoni mwa mikoa iliyo na hali ya ukame na Hupata wastani hali inayopelekea kulima mazao yanayostahili ukame kama vile uwele, mtama, mahindi, karanga, alizeti, ufuta na zabibu. Na Mindi Joseph. Wananchi Kata ya Babayu wamehimizwa kujikita katika kilimo…
21 Aprili 2023, 10:42 mu
Wakulima wa Kilosa wanashauriwa kupanda alizeti
Zao la alizeti ni zao ambalo ni la muda mfupi pia linastahimili mvua kidogo hivyo mkulima atanufaika kwenye mazao ambayo atajikwamua kiuchumi kwa haraka tofauti na mazao mengine. “Mvua zimerudi kwa kipindi kingine ambacho mkulima awali alipanda mazao kama mahindi…