Kilimo
10 October 2023, 11:03 pm
Serikali kuwapa wakulima mbinu mpya za kilimo Zanzibar
Wakulima Zanzibar wametakiwa kulima kilimo cha kisasa ili waendane na mapinduzi makubwa ya kilimo ulimwenguni ili waweze kujikomboa kupitia kilimo kwa kujihakikishia kupata chakula cha uhakika. Na Fatma Rashid Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh. Othamn Masoud Othmani…
9 October 2023, 9:27 am
Vijana watakiwa kutambua umuhimu wa sekta ya kilimo
Taasisi ya kuboresha Mifumo ya Masoko ya Kilimo Tanzania AMDT Leo imewakutanisha Wadau mbalimbali kutoka sekta ya Umma, wawakilishi kutoka mashirika mbalimbali na vijana katika Mdahalo wa kuibua changamoto zinazowakabili vijana ili kupata majibu sahihi. Na Mariam Kasawa. Vijana wametakiwa…
30 September 2023, 19:30
Vyama vya ushirika mwarobaini wa masoko kwa wakulima
Na Isaya Kigodi/Mafinga Ili kuendana na mahitaji ya soko, Wakulima wilayani Mufindi wametakiwa kujiunga na vyama vya ushirika jambo ambalo litawarahisishia kulifikia soko. Hayo yamesemwa na Afisa ushirika Halmashauri ya wilaya ya Mufindi Bi. Pili Mwaipaja wakati akizungumza na Mufindi…
27 September 2023, 6:21 pm
Zanzibar kuwa kivutio cha kijani na utalii endelevu
Kilimo ni miongoni mwa uti wa mgongo wa taifa ambacho kinatuingizia kipato pamoja na chakula kwa mahitaji yetu ya kila siku hivo ni jukumu letu kuhakikisha tunaendeza kilimo ili kuweza kujikwamua na hali ya maisha. Na mwandishi wetu Rais wa…
27 September 2023, 3:14 pm
WWF yatembelea mashamba ya wakulima waliopatiwa mafunzo ya kilimo bora
Shirika la WWF kwa kushirikiana na watalaamu wa bodi la bonde la ziwa Victoria wametembelea wakulima waliopatiwa mafunzo ya mbinu ya kilimo bora. Na Thomas Masalu Shirika la WWF kwa kushirikiana na watalaamu wa bodi la bonde la ziwa Victoria…
26 September 2023, 3:57 pm
Rasimu mkakati wa kilimo ikolojia yatakiwa kuwa katika lugha rahisi
Kongamano hilo limejumuisha wadau wa kilimo na wakulima kutoka mikoa mbalimbali nchini Tanzania mkakati wa kilimo hai unatarajia kuja na majibu juu ya kilimo haiĀ . Na David Kavindi. Imeelezwa kuwa rasimu ya mkakati wa kilimo ikolojia hai inatakiwa kufanyiwa marekebisho…
22 September 2023, 9:37 am
Wilaya ya Bunda yakamilisha kuunda jukwaa wakulima wadogo
Imeelezwa kuwa wilaya ya Bunda mkoani Mara, wamekamilisha uundaji wa jukwaa la wakulima wadogo lenye wadau mbalimbali akiwa ni pamoja na wakulima wenyewe. Na Thomas Masalu Imeelezwa kuwa wilaya ya Bunda mkoa wa Mara, wamekamilisha uundaji wa jukwaa la wakulima…
21 September 2023, 17:19
Wakulima Mufindi kunufaika na kipima udongo
Wataalam kutoka shirika la Care na WWF Alliance pamoja na wakulima wilayani Mufindi wakiwa katika moja ya shamba darasa. Picha na Care. Na Jumanne Bulali Kifaa cha kupimia udongo kinatarajiwa kuwa na tija kwa wakulima wengi wilayani Mufindi kwani wataweza…
21 September 2023, 11:34 am
Wafugaji kutumia bidhaa za lishe kutoka YARA.
Na Adelphina Kutika Wafugaji mkoani Iringa wametakiwa kutumia bidhaa ya Lishe ya wanyama kutoka Yara ili kuboresha mifugo yao na kukuza kipato kwa ufugaji. Agizo hilo limetolewa na mkuu wa mkoa wa iringa Halima dendego katika hafla ya uzinduzi wa…
20 September 2023, 10:06 am
Majukwaa ya wakulima chachu Kwa wakulima wadogo
Kilimo kimeendelea kuwa muhimu katika kuchangia Pato la taifa (GDP) na uchumi wa nchi. Na Thomas Maswali Kilimo kimeendelea kuwa muhimu katika kuchangia Pato la taifa (GDP) na uchumi wa nchi. Katika mwaka 2019 mchango wa kilimo katika Pato la…