Jamii
12 Oktoba 2022, 4:08 um
Siku ya kimataifa ya mtoto wa kike wazazi wameaswa kuwa karibu na watoto
RUNGWE-MBEYA NA: SABINA MARTIN Wazazi na walezi wilayani Rungwe mkoani Mbeya wametakiwa kutenga muda wa kukaa na kuzungumza na watoto wao kuhusu mambo mbali mbali ili kuwaepusha na vitendo vya ukatili vinavyoendelea katika jamii. Rai hiyo imetolewa na baaadhi ya…
11 Oktoba 2022, 11:43 mu
Vijana Waaswa Kumuenzi Baba wa Taifa Mwl. Nyerere
KATAVI. Vijana Mkoani katavi wametakiwa kuwa na utamaduni wa kumuenzi baba wa Taifa Mwalimu Julias Kambalage Nyerere kwa kuwa wazarendo na kudumisha amani ya taifa kuelekea kumbukizi ya miaka 23 ya kifo chake. Kauli hiyo imetolewa na Rafael Peleleza kijana…
5 Oktoba 2022, 2:06 um
Wenyeviti Njoge walia na posho
Na ;Victor Chigwada. Licha ya kufunguliwa akaunti za Benki kwa ajili ya kulipwa Posho ,bado hakuna hatua iliyochukuliwa kwa ajili ya utekelezaji wa malipo hayo kwa Wenyeviti wa Mitaa na Vijiji. Wenyeviti wa mitaa,vijiji na vitongoji ni miongoni mwa viongozi…
5 Oktoba 2022, 1:50 um
Pombe yapelekea wanaume kupata vipigo toka kwa wake zao
Na; Benard Filbert. Unywaji wa Pombe kupitia kiasi umetajwa kuchangia wanaume katika kijiji cha Kwa mtoro wilayani Chemba kupigwa na wanawake zao. Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na Taswira ya Habari baada kufika kijiji hapo umebaini kuwa baadhi ya wanaume…
11 Septemba 2022, 3:33 um
Wazazi watakiwa kufanikisha Mabaraza ya Watoto
Rais, Samia Suluhu Hassan amewataka wazazi na walezi nchini, kuwaruhusu watoto wao kushiriki kwenye Mabaraza ya watoto yaliyopo katika ngazi za Kata hadi Taifa, ili kujenga vipaji vyao vinavyopatikana kwenye mabaraza hayo. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na…
10 Septemba 2022, 7:43 mu
Wananchi Rungwe mjitokeze kuupokea Mwenge
RUNGWE-MBEYA. NA:JUDITH MWAKIBIBI Wananchi wilayani RUNGWE MKOANI MBEYA wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika kuupokea mwenge wa uhuru utakaofika 10sept 2022 ilikuweza kuzindua miradi mbalimbali katika halmashauri. Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya ya Rungwe Dk Vicent Anney alipokuwa ametembelea…
8 Septemba 2022, 7:27 um
Wananchi Wadai Fidia Waweze Kuondoka
KATAVI Baadhi ya wananchi wanao ishi mtaa wa Tambukareli kata ya uwanja wa ndege manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameiomba serikali kuwalipa fidia ili waweze kutoka katika makazi hayo. Wakizungumza na mpanda redio fm wamesema kuwa ni muda mrefu sasa…
8 Septemba 2022, 7:25 um
Vijana Washauriwa Kutofanya Maamuzi Mabaya
KATAVI Vijana mkoani Katavi wameshauriwa kutofanya maamuzi mabaya pindi wanapogubikwa na changamoto na badala yake waombe ushauri kwa watu wanaowazunguka. Hayo yamesemwa na baadhi ya vijani mkoani hapa wakati wakizungumza na mpanda radio fm wamesema athari za matatizo ya kisaikolojia…
7 Septemba 2022, 10:50 mu
CCM Yasafisha Kichaka cha Muda Mrefu
MPANDA Baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM kata ya Mpanda Hotel wameeleza umuhimu wa kufanya usafi wa mazingira. Wameyasema hayo wakati wakitekeleza zoezi la usafi katika eneo la chama hicho ambalo lilikuwa likitumika kama kichaka cha kutupa taka…
5 Septemba 2022, 5:04 mu
Mtendaji na Katibu ‘bandia’ mbaroni kwa uchochezi Mkoani Morogoro
Jeshi la Polisi Wilayani Kilosa, limewakamata Mtendaji wa kijiji cha Mambegwa na mtu mmoja aliyejitambulisha kwa cheo bandia cha Katibu wa mwenyekiti wa Kijiji hicho, wakidaiwa kuhusika na uchochezi wa migogoro ya wakulima na wafugaji iliyopelekea watu watano kujeruhiwa baada…