Jamii
29 March 2023, 2:11 pm
Wananchi Ndogowe walalamika kuuziwa mahindi bei ghali
Mfumo huu wa usambazaji wa mahindi ya Bei nafuu unalenga kukabiliana na janga la njaa ambalo pia huchangia kupanda kwa bei ya vyakula. Na Victor Chigwada. Imeelezwa kuwa pamoja na jithada za Serikali kusambaza msaada wa mahindi ya Bei…
27 March 2023, 3:10 pm
Kanisa la Pentekoste Mtakuja lamtaka Mkuu wa wilaya kutatua mgogoro wa a…
Huu ni Muendelezo wa kanisa hilo katika harakati za kuomba serikali ya wilaya ,mkoa na wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuweza kumaliza mgogoro huo ambao wameshindwa kujua ni lini utapata ufumbuzi. Na Seleman Kodima. Uongozi wa kanisa la…
27 March 2023, 2:08 pm
Makala Maalum kuhusu Urembo wa Kucha Bandia
27 March 2023, 12:52 pm
Watoto 172 Iringa Wanufaika Bima ya Afya
Watoto 172 mkoani Iringa wamekabidhiwa bima za afya ili kuweza kumudu matibabu pindi wanapokabiliwa na magonjwa. Na Adelphina Kutika. Taasisi isiyo ya kiserikali ya Rounding Hands to Save Community na Makutano TV kwa kushirikiana na Chuo Kikuu Huria cha Iringa na Hidaya Catering…
17 March 2023, 2:09 pm
WANAMAKANGALE WAMPONGEZA DC KUTATUA CHANGAMOTO YA MAJI.
Na Khadija Rashid Nassor Upatikanaji wa maji safi na salama shehiya ya Makangale Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, ni miongoni mwa juhudi za Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Mgeni Khatib Yahya katika kuwaletea wananchi maendeleo. Mnamo mwezi wa…
16 March 2023, 3:39 pm
DC Gondwe apiga marufuku wanafunzi kuchunga mifugo siku za masomo
ni vema wazazi kupunguza tabia ya kuwa wakali kwa watoto wao na badala yake wajenge urafiki kwa kuzungumza nao mara kwa mara ili wasiwaogope , bali wawe huru kwa wazazi wao kueleza changamoto mbalimbali. Na Benard Magawa Mkuu wa Wilaya…
13 March 2023, 12:57 pm
Elimu Matumizi Mitandao kwa Watoto
Kutokana na kukua kwa teknolojia wazazi wametakiwa kuwafundisha watoto wao matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii. Na Joyce Buganda. Mtaalamu wa masuala ya teknolojia na Tehama wilayani Mufindi Bw. Hasan Chunya amesema juu ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii…
13 March 2023, 12:21 pm
Wasanii Wakemea Ukatili Iringa
Kufuatia matukio ya kikatili yanayoendelea kushamiri katika mkoa wa Iringa wasanii wenye asili ya Iringa wameamua kuungana kutengeneza filamu yenye maudhui ya kupinga ukatili. Na Adelphina Kutika. Wasanii maarufu wa filamu nchini ambao asili yao kutoka mkoa wa Iringa wamesema…
March 9, 2023, 10:44 am
Wanawake waaswa kutumia Teknolojia
Katibu Tawala Wilaya ya Makete Bi. Grace Mgeni akizungumza na Wawawake waliojitokeza kwenye Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Mwanamke Duniani
March 7, 2023, 9:59 pm
Polisi Wanawake Makete wawafariji Yatima Bulongwa
Mtandao wa Jeshi la Polisi Wanawake Wilayani Makete Mkoani Njombe wametembelea kituo cha kulelea watoto Yatima Bulongwa na kutoa msaada wa vitu mbali mbali vyenye thamani ya shilingi laki tatu . Philipina mkumbo ni Mkuu wa upelelezi Wilaya ya Makete…