Haki za Binadamu
18 October 2023, 11:19 am
PEGAO, TAMWA watoa neno kuhusu vyeti bandia
Tatizo la upatikanaji wa vitambulisho pamoja na vyeti bandi (feki) limekuwa ni tatizo sugu ambalo kwa sasa katika visiwa vya Zanzibar ni jambo la kawaida licha ya serikali pamoja na wadau wengine kupiga kelele siku hadi siku kuhusu kupatikana kwa…
17 October 2023, 17:30
Wavenza: Saidieni watoto yatima waishi kama watoto wengine
Kwenye jamii kuna msemo unasema motto wa mwenzako ni wako ,hii inamaana kuwa kila mtoto anapaswa kupata mahitaji yote kama watoto wengine unapopata nafasi ikiwa ni pamoja na chakula,elimu na malazi. Na Deus Mellah Jamii nchini imetakiwa kuwa mstari wa…
13 October 2023, 2:55 pm
PACSO yawapiga msasa wadau juu ya kuilinda haki za bindamu
Binadamu yeyote duniani ana haki ya kupata kile ambacho anastahili kupata bila ya kuwepo na ubaguzi wowote haijalishi ni mlemavu au sio mlevu , bila kujali ukabila wake ,dini yake ama rangi yake Na Mwiaba Kombo Wadau wa haki za…
13 October 2023, 1:03 pm
Mkoa wa Geita kupata Mahakama Kuu
Idadi ya watu milioni 2.9 katika Mkoa wa Geita imemsukuma Jaji Mkuu wa Tanzania kuanzia Mahakama kuu Mkoani Geita. Na Mrisho Sadick Geita: Jaji Mkuu wa Tanzania na Mwenyekiti wa tume ya utumishi wa Mahakama Profesa Ibrahimu Juma ameagiza kuanzishwa…
5 September 2023, 1:00 pm
Wanawake Micheweni walia kutelekezwa na waume zao.
Wanawake na watoto wamekuwa ni wahanga wakubwa kwenye suala zima la utelekezaji hivo ipo haja kuhakikisha kuwa tunashirikiana kwa kina kuhakikisha tunaondoa tatizo hilo ambalo linapigiwa kelele siku hadi siku katika jamii zetu Na Mwiaba Kombo
29 August 2023, 2:50 pm
Maofisa wa vyuo vya mafunzo Pemba watakiwa kubadilika
Na Is-haka Mohammed Pemba. Mtandao wa Utetezi wa Haki za Binadamu Tanzania umesema mwongozo wa malalamiko katika vizuizi (Vyuo vya Mafunzo) umewekwa kwa ajili ya kusaidia utatuzi wa changamoto na malalamiko ya walio vizuizini ili kutoa nafasi ya kushughulikiwa na taasisi…