Radio Tadio

Habari

August 11, 2025, 8:00 pm

Madereva kudumisha amani, wamkaribishaRC mpya Songwe

Waendesha usafiri Songwe wamemkaribisha RC mpya wa Songwe na kuahidi kulinda amani Mkoani humo, huku wakisisitiza kushirikiana na serikali na kutojihusisha na makundi ya kihalifu. Na Stephano Simbeye Waendesha bodaboda, maguta na bajaji wamesema hawako tayari kujiunga na makundi maovu…

23 July 2025, 6:13 pm

Madeni, ugumu wa maisha chanzo watu kujiua Kagera

Wimbi la watu kujiua au mauaji dhidi ya watu wengine limeendelea kutikisa mkoa wa Kagera licha ya kuwa hakuna utafiti rasmi wa sababu za tatizo hilo. Na Theophilida Felician, Bukoba Maisha magumu, upweke, migogoro ya ndoa, wivu wa mapenzi, madeni…

10 July 2025, 8:00 pm

Sangoma wanaotumia viungo vya binadamu kukiona

Siku chache baada ya Jeshi la Polisi mkoani Kagera kuwashikilia wanaume wawili ambao ni Kelvin Piason Mdolon (42), mkazi wa Mnyiha na mganga wa kienyeji pamoja na Randani Seme Mlomo (64), mkazi wa Mnyamwanga ambaye ni mtumishi wa chumba cha…

9 July 2025, 1:50 pm

Uvinza Malaria sasa basi

Zaidi ya vyandarua elfu 16 vitagawiwa kwa wananchi wa Kata ya Uvinza kama sehemu ya juhudi za kuendelea kutokomeza ugonjwa hatari wa malaria katika Wilaya ya Uvinza. Na Abdunuru Shafii Wananchi wa kata ya uvinza wilaya ya uvinza wamepokea vyandarua…

11 June 2025, 12:16 pm

RC Iringa awaonya wanaotoa risiti bandia

Wateja Mkoani Iringa wametakiwa kudai risiti kila wanapofanya manunuzi, hii kudhibiti mianya ya ukwepaji kodi. Na Adelphina Kutika Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe Peter  Serukamba, amewataka wafanyabiashara wote mkoani Iringa kuacha mara moja tabia ya kutoa risiti bandia kwa…

12 May 2025, 2:36 pm

Wazazi wapeni watoto elimu ya kijinsia bila kupepesa macho

Toka kuundwe kwa dawati la kijinsia katika shule hiyo wanafunzi wamepata elimu ya kufahamu  madhara ya mimba za utotoni na kufahamu namna ya kuepuka vishawishi Na Theresia Damasi Katika kuhakikisha ukatili dhidi ya watoto unakomeshwa na kupingwa vikali katika jamii,Shule…