Radio Tadio

Habari za Jumla

20 February 2024, 10:38

Chuo kikuu TEKU chafanya ibada ya kumshukru Mungu

Na Ezra Mwilwa Kanisa la Moravian Tanzania Ushirika wa Teku wamefanya Ibaada maalumu kwaajiri ya kumshukuru Mungu juu ya Chuo kikuu Teofilo Kisanji kuendelea kukua na kutunukiwa hadhi kubwa ya vyuo vikuu Nchini. Katika ibada hiyo imehudhuriwa na Askofu Mteule…

19 February 2024, 11:07

Madereva bajaji wanawake wadai kufanyiwa ukatili

Na Mwanaisha Makumbuli, Mbeya Madereva bajaji wanawake katika halmashauri ya jiji la Mbeya  wamelalamika kufanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia na baadhi ya wanaume ikiwemo kutolewa lugha za fedheha na matusi, kitendo kinachowakatisha tamaa na kujiona hawastahili kufanya shughuli hiyo.…

18 February 2024, 3:43 pm

Baraza la madiwani laridhia kuvunjwa mamlaka ya mji mdogo Maswa

Na Nicholaus Machunda Baraza  la  Madiwani  la  Halmashauri  ya   Wilaya ya  Maswa  kwa Kauli  moja  limeridhia  kuvunjwa  kwa  Mamlaka  ya  Mji  mdogo  Maswa  kwakushindwa  kukidhi  vigezo  na  Kuazimia  kuanzisha  Mchakato  wa  Kupata  Halmashauri  mbili.https://maswadc.go.tz/ Azimio  hilo  lilitolewa    na  Mkrugenzi  Mtendaji …

16 February 2024, 15:31

uwepo wa masoko ya uhakika kutatua changamoto za wakulima

Wakulima Katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, wameiomba Serikali kusaidia upatikanaji wa soko la uhakika la kuuza mazao ya mahindi na maharage, kufuatia ongezeko kubwa la uzalishaji wa mazao hayo, ikiwa ni baada ya kupatiwa mbinu za uzalishaji…

16 February 2024, 2:44 pm

Kinababa pelekeni watoto kwenye chanjo

Jamii imetakiwa kuona umuhimu wa kuwapeleka watoto wao kupatiwa chanjo ili kuwakinga na maradhi mbalimbali. Na Mrisho Shabani: Kina baba Mkoani Geita wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuwapeleka watoto wao wenye umri wa kuanzia miezi tisa hadi miaka mitano kupatiwa chanjo…