Radio Tadio

Habari za Jumla

21 March 2024, 08:59

EWAKI yatoa bima za afya kwa kaya 30 za wazee Kigoma

Jumla ya kaya 30 za wazee wenye mahitaji maalum katika kata ya Murufyiti halmashauri ya mji Kasulu mkoani Kigoma zimepatiwa msaada wa bima za afya ICHF zilizoboreshwa kutoka shirika la Endeleza Wazee Kigoma (EWAKI) ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za…

20 March 2024, 18:55

Madiwani wanawake watembelea miradi ya maji Mbeya

Kutokana na changamoto ya uhaba wa maji kwa baadhi ya wakazi jijini Mbeya mamlaka ya maji safi imeendelea kujenga miradi ya maji ili kunusuru hali hiyo. Na Sifael Kyonjola Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Mbeya kwa kushirikiana…

20 March 2024, 5:27 pm

Wananchi  acheni kuwaficha wahalifu

Polisi Manyara yawataka wananchi  kuripoti matukio ya kihalifu katika mitaa yao. Na George Agustine Wananchi wilayani Babati mkoani Manyara wametakiwa kutoa taarifa  katika kituo cha  polisi  kutokana na watu wanaofanya matukio ya kihalifu katika mitaa yao ili wachukuliwe  hatua za…

20 March 2024, 17:27

Kyela:Mwalimu atuhumiwa kubaka mwanafunzi darasa la saba

Mwalimu mmoja mkazi wa kata ya njisi hapa wilayani kyela anatuhumiwa kumbaka motto mwenye umri wa miaka 14 huku akimuahidi kumuoa na kumpa fedha za kulia shuleni. Na Nsangatii Mwakipesile Katika hali isiyo ya kawaida mtu mmoja aliye tambulika kwa…

20 March 2024, 16:47

Afisa tarafa akerwa na watendaji wazembe

Unapoaminiwa na kupewa kufanya kazi fulani huna budi kuonyesha jitihada zako za utendaji kazi kwa weledi. Na mwandishi wetu Afisa Tarafa ya Ilongo Magdalena Sikwese ameagiza Maafisa Watendaji wa Kata na Vijiji kuhakikisha wanatumia nafasi zao kwa kuwatumikia Wananchi vizuri…

20 March 2024, 15:18

Prof. Ndalichako alipa deni kwa wananchi Kasulu

Waziri  ofisi ya waziri mkuu kazi , vijana , ajira na wenye ulemavu prof Joyce ndalichako amezindua magati matano ya maji katika mtaa wa nyachijima kata ya kigondo halmashauri ya mji wa kasulu ikiwa ni mwendelezo wa kuhakikisha serikali inamtua…