Radio Tadio

Habari za Jumla

26 March 2024, 09:06

Kamchape yawa tishio kwenye jamii Kigoma

Jamii wilayani Kasulu mkoani Kigoma imeaswa kupinga na kukemea huduma zinazotolewa na wapiga ramli chonganishi maarufu kwa jina la Kamchape ama lambalamba kwani wanasababisha kuvuruga amani hali inayosababisha madhara makubwa katika wananchi. hii hapa ni ripoti yake Hagai Ruyagila

25 March 2024, 5:31 pm

Mafuriko yaua mtu mmoja Ifakara

Wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara wametakiwa kuwa makini katika kipindi hiki cha mafuriko na pia wazazi wanapaswa kuwaangalia watoto wao wasiwaache kwenda kuchezea maji kwani wanaweza kupoteza maisha Na Elias Maganga Baadhi ya maeneo katika Halmashauri ya Mji…

25 March 2024, 14:54 pm

Kamati ya Bunge yaipongeza Serikali umiliki wa Gesi Asilia

Kamati ya kudumu ya Bunge ya uwekezaji wa mitaji ya umma imeipongeza serikali kwa kuchukua hatua ya kuwasomesha vijana wa kitanzania nje ya nchi ambao kwasasa ndio wanao simamia mitambo ya kuchakata na kuzalisha Gesi Asilia katika kjiji cha Madimba…

24 March 2024, 09:04

Ujenzi Stendi ya Chimbuya Songwe kukamilika mwezi mei 2024

Baada ya kilio cha stendi ya kuegesha magari ya mizigo songwe hatimaye swala hilo limepatiwa ufumbuzi Na Ezra Mwilwa Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Songwe, Mhandisi Suleiman Bishanga amesema Matengenezo ya mahali pa kuegesha malori eneo…

23 March 2024, 22:49

Kyela:Mitungi ya Kinanasi yafika msikiti wa tenende

Mbunge wa jimbo la Kyela amendelea kukabidhi majiko ya gesi na sukari kwa waumini wa dini ya kiislamu ambapo mara hii amekabidhi majiko hayo katika misikiti ya tenende na Ipinda. Na Masoud Maulid Waislamu wilaya ya kyela wamempongeza mbunge wa…

23 March 2024, 22:28

Kyela:Mwanjala atembelea Convenant Edible Oil

Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi kyela akiambatana na kamati yake ya siasa wilaya ya Kyela amekagua kiwanda kipya cha kuzarisha mafuta cha Convenant Edible Oil na kumwagia sifa lukuki mwekezaji wa kiwanda hicho. Na Nsangatii Mwakipesile Kamati ya siasa ya…