Radio Tadio

Habari za Jumla

11 April 2024, 18:00

Machifu Mbeya wachafukwa TARI kulima juu ya makaburi

Baadhi ya wananchi wa kata Ituha jijini Mbeya wamekerwa na kitendo cha Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) kituo cha Uyole kuvamia maeneo yao waliozika ndugui zao. Na Josea Sinkala Serikali wilayani Mbeya imeanza mchakato wa kumaliza mgogoro wa ardhi…

11 April 2024, 12:36 am

Ulinzi, usalama waendelea kuimarishwa Katavi

“Baraza kuu  la Waislamu    wanaupongeza uongozi wa   Mkuu wa  Mkoa kwa kuhakikisha hali ya utulivu inaimarika“ Na Lilian Vicent-Katavi Wananchi wa mkoa wa Katavi Wamehakikishiwa usalama wakati wa kufanya shughuli za kijamii na kiuchumi kwa kuwa jeshi la polisi lipo…

10 April 2024, 11:37 pm

Waathirika wa mafuriko Ifakara wapata msaada

Picha ya waathiriika wakiwa kwenye moja ya kambi – Picha na Katalina Liombechi Na Katalina Liombechi Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mh Aboubakar Asenga Ametoa Msaada wa vyakula kwa Waathirika wa Mafuriko 135 walioweka kambi katika Shule ya Msingi Kiyongwile…

10 April 2024, 13:52 pm

Waislam watakiwa kuishi maisha yanayompendeza Mwenyezi Mungu

Kumewa na kutozingatia matukufu na makatazo ya Mwenyezimungu ambayo huenda ikawa sababu ya kuwepo kwa ugumu wa Maisha kutokana na Binadamu kutozingatia maagizo yake Na Musa Mtepa Waislam wametakiwa kuendelea kuishi Katika Maisha  walivyoishi kwenye  Mwezi mtukufu wa Radhamani ili…

9 April 2024, 3:07 pm

Ujenzi wa barabara za kiuchumi wawakuna wakulima Kilosa

Serikali imedhamiria kwa dhati kumaliza changamoto za miundombinu ya barabara kwa kutengeneza madaraja, mifereji na makaravati wilayani Kilosa kwa kuondoa adha ya usafiri na kuwainua wananchi kiuchumi kwa kuweza kusafirisha mazao yao kuyapeleka kwenye masoko makubwa ambayo yatawaongezea kipato mara…

9 April 2024, 1:09 pm

Prof. Kabudi afuturisha mamia ya wakazi Rudewa

Zimesalia siku chache ili kuisha kwa mwezi Mtukufu wa Ramadhan ambapo waislam duniani kote wamekuwa wakitimiza moja ya nguzo muhimu ya dini kwa kufunga na kufanya ibada na matendo mema huku wakidumisha amani, upendo na ushirikiano baina yao. Na Asha…