Radio Tadio

Habari za Jumla

22 February 2025, 19:43

Walemavu wasioona kilombero wakumbukwa

“Sisi Watu wenye ulemavu kwa muda mrefu hatujakumbukwa ila tunashukuru kwa huyu mdau Issa Vitus Lipagila kwa kutushika mkono sasa tutafanikisha  shughuli zetu kwa kuepuka  kupata ajali zisizokuwa za lazima[“Walemavu wasioona Na Elias Maganga Walemavu wasioona Kilombero wamepatiwa msaada wa…

21 February 2025, 7:10 am

Mufindi FM yashika namba 3 kwa kulipa kodi

na Jumane Bulali Mufindi FM Radio 107.3 imeshika nafasi ya tatu Kwa kulipa Kodi Kwa wakati na kwa usahihi Kwa upande wa Vyombo vya Habari vya Mkoa wa Iringa. Mufindi FM imepewa tunzo hiyo maalumu baada ya kutambuliwa na Mamlaka…

20 February 2025, 4:55 pm

Kyela:Mkaguzi atumwa kafundo,milioni 3 hazionekani zilipo

Katika hali ya kushangaza serikali ya halmashauri ya wilaya ya kyela imeagiza mkaguzi wa hesabu za serikali kufika katika kijiji cha kafundo kutokana na harufu ya ubadhilifu wa fedha za wananchi. Na Masoud Maulid Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya…

18 February 2025, 5:47 pm

Atupwa jela miaka 3 kwa kuwang’ata wenzie-Sengerema

Matukio ya watu kujichukulia sheria mkononi wilayani Sengerema yanazidi kushika kasi, ambapo mtu mmoja amehukumiwa miaka 3 kwa kosa la kujeruhi watu wa wili na meno. Na;Emmanuel Twimanye Mahakama ya Wilaya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu kwenda jela miaka mitatu Mkazi…

13 February 2025, 11:22 am

Sungusungu asababisha kifo cha mwananchi

amefariki baada ya kupigwa na Sungusungu kwa tuhuma za kushukiwa anajishughulisha na vitendo vya wizi. Na Betold Chove -Katavi Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika  Onesmo Buswelu amekemea vitendo vya Wananchi kujichukulia sheria mkononi, hali inayopelekea uvunjifu wa amani na kuhatarisha…

7 February 2025, 2:29 pm

Wazazi watakiwa kuwa karibu na watoto wao

Picha ya Koplo Zainabu Yusuph. Picha na Samwel Mbugi “Ukatili kwa watoto wa kambo huathiri afya ya akili ya mtoto” Na Lilian Vicent Baadhi ya wananchi mkoa wa Katavi wamesema kuwa familia nyingi kuvunjika miongoni mwa wazazi ni moja ya sababu…