Radio Tadio

Habari za Jumla

29 October 2024, 3:59 pm

Watatu wanusurika ajali ya moto bajaj ikiteketea

 Na Anwary Shabani     Watu watatu jijini Dodoma wamenusurika kifo baada ya bajaji waliyokuwa wakiitumia kwa safari za mjini kuwaka moto na kuteketea katika mtaa wa Kitenge Kata ya majengo. Bwn Isaack Gideon ambaye ni dereva wa bajaj hiyo anaeleza jitihada…

29 October 2024, 3:50 pm

Koica yawapiga msasa wakaguzi wa walimu Pemba

Mkaguzi mkuu wa elimu Zanzibar Maimuna Fadhil Abas akizungumza na wakaguzi wa walimu wakati wa ufunguzi wa mafunzo huko kituo cha walimu (TC)Michakaeni chake chake Pemba (picha na Mwiaba Kombo) Taasisi ya kuboresha elimu Zanzibar lengo lake kubwa ni kuhakikisha…

28 October 2024, 8:28 pm

Wamebana Wameachia

Na Joel Headman Babati: Ndo ivyo bwana mchezo wa Ligi kuu ya NBC kati ya Fountain Gate na Mashujaa umetamatika hapa uwanja wa Tanzanite Kwaraa kwa sare maua ya 2-2 Fountain gate ndio wenye furaha zaidi baada ya kutanguliwa goli…

28 October 2024, 6:25 pm

TIRA yawafikia wafugaji Manyara

Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania(TIRA)kanda ya kati imewashauri Wafugaji mkoani Manyara kukata bima ili kujikinga na majanga yanapotokea. Na Mzidalfa Zaid Wafugaji mkoani Manyara wameshauriwa  kukata bima ili kujikinga na majanga yanapotokea ikiwemo mabadiliko ya hali ya hewa ,mafuriko,…

23 October 2024, 3:57 pm

REA kusambaza umeme vitongoji 105 Geita

Umeme vijijini umekuwa chachu na mabadiliko ya haraka kwa uchumi wa wananchi huku serikali ikiahidi kufikisha huduma hiyo kila kitongoji. Na Mrisho Sadick: Wakala wa nishati vijijini (REA) umeanza Kusambaza Umeme kwenye vitongoji 105 vya majimbo saba (7) ya mkoa…

23 October 2024, 12:55 am

Betri chakavu za magari ni hatari kwa afya

Na Mariam Kasawa. Taka za betri chakavu zinatajwa kuwa na athari kimazingira na kiafya kwa binadamu hivyo  umakini unahitajila katika kuziteketeza au kurejelezwa. Akizingumza katika wiki ya kujiondosha  na kuepukana na taka za As lead zinazotokana na betri chakavu, Bwn…

23 October 2024, 12:55 am

Shule ya Msingi Idilo yafaidika na mapato ya Kijiji

Na Noel Steven. Shule ya msingi  Idilo imeafaidika  na kwa kupata msaada wa madawati 30 kutokana  na miradi  ya uwekezaji katika kijiji hicho. Zaidi ya Wanafunzi 90 waliokuwa wakisoma huku wamekaa chini Katika shule ya Msingi Idilo wameondokana na adha…

23 October 2024, 12:55 am

Serikali yaipandisha hadhi shule ya msingi Mandawa

Nas Mindi Joseph. Serikali imeipandisha hadhi shule ya msingi Mandawa ili kuweza kutoa elimu ya  ya kidato cha tano na sita. Akizungumza kwa niaba ya wanafunzi wenzake, Kaka Mkuu wa shule ya sekondari Mandawa, Saidi Mohammed Mkowola ameishukuru Serikali kwa…