Radio Tadio

Habari za Jumla

8 Disemba 2020, 14:51

Mfumuko wa bei wa Taifa washuka

Na,Mindi Joseph, Dodoma. Mfumuko wa bei wa Taifa umepungua kutoka asilimia 3.1 hadi 3.0 kwa mwezi Novemba kufuatia kasi ya mabadiliko ya bidhaa nchini Kupungua.Kupungua kwa mfumuko wa bei kwa mwaka ulioishia mwezi Novemba 2020 imechangiwa na kupungua kwa bei…

8 Disemba 2020, 07:55

Baloteli ajiunga na Monza ya daraja la pili Italia

Monza, Italia. Mshambuliaji wa Kimataifa wa Italia, Mario Balotelli ambaye amekuwa bila klabu tangu majira ya joto, Sasa anarejea Katika Soka akijiunga na klabu cha daraja la pili huko Italia AC Monza inayomilikiwa na Silvio Berlusconi na Adriano Galliani. Klabu…

7 Disemba 2020, 10:16

Mbabe wa simba apigwa na Yanga

Yanga yaendelea kua timu pekee ligi kuu ambayo mpaka sasa haija poteza mchezo hata mmja hii baada ya kuifunga ruvu shooting goli mbili dhidi ya moja katika mchezo uliopigwa katika uwanja wa Mkapa jijini dar-es-saalamKocha wa Yanga, Cedric Kaze anasema…

7 Disemba 2020, 09:06

Ntibazonkiza aishuhudia Yanga ikiondoka na pointi tatu

Dar Es Salaam. Mshambuliaji mpya wa klabu ya soka ya Yanga Said Ntibazonkiza hapo jana alikaa jukwaani kuishuhudia timu yake ikiibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya maafande wa Ruvu Shooting. Ntibazonkiza anatarajia kuanza kuitumikia Yanga kuanzia Sesemba 15…

5 Disemba 2020, 10:50

Vieira atimuliwa Nice

Nice, Ufaransa. Klabu ya Nice imemfuta kazi kiungo wa zamani wa Ufaransa na Arsenal, Patrick Vieira kama kocha wao Mkuu baada ya miaka miwili na nusu ndani ya Klabu hiyo ya Ligue 1.Klabu hiyo ya Ufaransa imepoteza michezo mitano mfululizo,…

4 Disemba 2020, 10:33

Bozizé akosa sifa ya kuwania Urais C.A.R

Bangui, C.A.R. Mahakama ya Katiba imethibitisha uamuzi wa Tume huru ya uchaguzi nchini humo kuwa rais wa zamani wa nchi hiyo François Bozizé , hana nafasi ya kuwania urais katika uchaguzi wa Desemba 27 nchini humo. François Bozizé anashtumiwa kwa…