Radio Tadio

Habari za Jumla

10/12/2020, 14:51

Wawili wapandishwa kizimbani kwa tuhuma za kujeruhi

Na Zakia Ndulute, Dodoma. Mkazi wa Dabalo Wilaya ya Chamwino Bw.Msafiri Samson (38) na Samwel Msafiri (33) leo wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Dodoma kwa shitaka la kujeruhi kitendo ambacho ni kosa kisheria.Wakisomewa shitaka lao mbele…

10/12/2020, 09:26

Sven aridhishwa na wachezaji wake

Kocha mkuu wa klabu Bingwa Tanzania Bara Simba SC Sven Vandenbroeck amefurahishwa na jinsi kikosi chake kilivyocheza dhidi ya Polisi Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu jana usiku (Desemba 09), Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es salaam.Kwenye mchezo huo uliokua…

08/12/2020, 14:51

Mfumuko wa bei wa Taifa washuka

Na,Mindi Joseph, Dodoma. Mfumuko wa bei wa Taifa umepungua kutoka asilimia 3.1 hadi 3.0 kwa mwezi Novemba kufuatia kasi ya mabadiliko ya bidhaa nchini Kupungua.Kupungua kwa mfumuko wa bei kwa mwaka ulioishia mwezi Novemba 2020 imechangiwa na kupungua kwa bei…

08/12/2020, 07:55

Baloteli ajiunga na Monza ya daraja la pili Italia

Monza, Italia. Mshambuliaji wa Kimataifa wa Italia, Mario Balotelli ambaye amekuwa bila klabu tangu majira ya joto, Sasa anarejea Katika Soka akijiunga na klabu cha daraja la pili huko Italia AC Monza inayomilikiwa na Silvio Berlusconi na Adriano Galliani. Klabu…

7 Disemba 2020, 5:14 um

Wanaume kukosa ujasiri wa kuripoti matukio ya Ukatili unaowakabili

Miongoni mwa sababu zinazotajwa na kupelekea wanaume kushindwa kufikisha taarifa za kufanyiwa ukatili katika vyombo vinavyohusika ni pamoja na uwepo wa Mtazamo Hasi na uwoga wa kudharirika iwapo jamii itabaini suala hilo Akizungumza na wananchi wa Kijiji cha mnadani Mkurugenzi…

7 Disemba 2020, 10:16 mu

Mbabe wa simba apigwa na Yanga

Yanga yaendelea kua timu pekee ligi kuu ambayo mpaka sasa haija poteza mchezo hata mmja hii baada ya kuifunga ruvu shooting goli mbili dhidi ya moja katika mchezo uliopigwa katika uwanja wa Mkapa jijini dar-es-saalamKocha wa Yanga, Cedric Kaze anasema…

07/12/2020, 09:06

Ntibazonkiza aishuhudia Yanga ikiondoka na pointi tatu

Dar Es Salaam. Mshambuliaji mpya wa klabu ya soka ya Yanga Said Ntibazonkiza hapo jana alikaa jukwaani kuishuhudia timu yake ikiibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya maafande wa Ruvu Shooting. Ntibazonkiza anatarajia kuanza kuitumikia Yanga kuanzia Sesemba 15…