Radio Tadio

Habari za Jumla

19 Aprili 2021, 12:01 um

Sijasoma ila nawasaidia wazazi

Na karim Faida Nchi ya Tanzania imebarikiwa vyanzo vingi vya maji ambavyo pia vinatumika katika shughuli mbalimbali ikiwa ni pamoja na shughuli za uvuvi ambazo zinasaidia kuingiza kipato kwa watu wanaoishi jirani na chanzo fulani cha maji mfano bahari, Maziwa,…

18 Aprili 2021, 10:28 mu

Kauli ya Rais imetupa nguvu mpya

Na Karim Faida. Wafanyabiashara wa bidhaa mbalimbali kutoka kwenye soko kuu la Chuno lililopo manispaa ya Mtwara mikindani mkoani Mtwara wamesema wanaimani kubwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli zake anazozitoa…

18 Aprili 2021, 10:20 mu

Wanakijiji wahamasishwa kushiriki kwenye miradi

Na Karim Faida Wananchi wa Kijiji cha Ngorongoro kata ya Nanguruwe Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara mkoani hapa wametakiwa kushiriki kikamilifu katika miradi mbalimbali ya kimaendeleo inayoletwa katika kijiji chao ili kuharakisha miradi hiyo. Akiongea katika mkutano wa hadhara uliofanyika…

16 Aprili 2021, 7:25 um

Dc Bupilipili ; awapongeza wakulima wa pamba

 Mkuu wa wilaya ya Bunda Mwl Lydia Bupilipili amewapongeza wakulima wa zao la Pamba wilaya ya Bunda mkoani Mara  kwa kuzingatia kilimo bora na chenye tija. Dc Bupilipili ametoa pongezi hizo leo tarehe 15 mwezi wa 4 alipofanya ziara ya…

16 Aprili 2021, 6:54 um

Milion 7 kujenga choo genge la jioni Bunda

Mwenyekiti wa wajasiliamali mkoa wa mara Charles Waitara amewashukuru Mbunge wa Bunda Mjini Robert chacha maboto, Diwani wa Bunda Mjini pamoja na Mkurungenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda kwa kuadhimia kujenga choo eneo la genge la jioni Waitara ameyasema…

16 Aprili 2021, 11:09 mu

WANAFUNZI SIMIYU WAOMBA KAMBI ZA KITAALUMA ZIWE ENDELEVU

Wanafunzi wa shule ya sekondari Bariadi mkoani Simiyu wameomba viongozi wa mkoa na wadau wote wa elimu kuwa kambi za kitaaluma ziwe endelevu kwa kuwa zina matokeo chanya kwa katika ufaulu wa wanafunzi na ili mkoa uendelee kufanya vizuri katika…