Radio Tadio

Habari za Jumla

29 Aprili 2021, 1:15 um

Serikali yajipanga kuondoa mgao wa maji Nchini

Na;Yussuph Hans Serikali imesema inaendelea kujipanga kuhakikisha inaondoa adha ya mgao wa Maji kwa Wananchi katika maeneo mbalimbali hapa Nchini. Hayo yamebainishwa leo Bungeni na Naibu Waziri wa Maji Mh MarryPrisca Mahundi wakati akijibu swali la Mbunge wa Ndanda Mh…

29 Aprili 2021, 6:35 mu

Serikali kutunga sheria uvunaji wa viungo

Na;Yussuph Hans. Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel, amesema kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya upandikizaji wa viungo Nchini, Serikali imeandaa Muswada wa kutunga Sheria itakayoongoza taratibu za uvunaji, utunzaji na upandikizaji wa viungo Ameeleza hayo bungeni jijini Dodoma wakati akimjibu Mbunge…

29 Aprili 2021, 6:17 mu

Zahanati ya Chanhumba yakabiliwa na ukosefu wa dawa

Na; Benard Filbert. Wakazi wa Kijiji Cha Chanhumba Kata ya Handali Wilayani Chamwino wamelalamikia ukosefu wa dawa katika Zahanati ya Kijiji hicho hali inayowalazimu kununua dawa katika maduka ya dawa. Hayo yameelezwa na wakazi wa Kijiji hicho wakati wakizungumza na…

29 Aprili 2021, 6:00 mu

Diwani Nkonko aahidi kuwasaidia vijana kupatiwa mkopo na halmashauri

Na; Seleman Kodima. Diwani wa kata ya Nkonko wilayani Manyoni Ezekiel Samwel amesema ataendelea kupambana na kuhakikisha Vijana katika kata yake  wanachangamka na  Kupata mkopo unaotolewa Halmashauri kwa kundi la   wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ili kujikwamua kiuchumi, kujiongezea…

Aprili 28, 2021, 2:18 um

TBS yatoa mafunzo ya vifungashio kwa wajasirimali wa mchele Kahama

Wajasiliamali 100 ambao ni wasindikaji, wauzaji na wasambazaji wa Mchele Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wamepatiwa mafunzo kuhusu kanuni bora za uzalishaji na taarifa za msingi zinazotakiwa kuwepo kwenye vifungashio na shirika la viwango nchini TBS. Mafunzo hayo yametolewa kwenye…

27 Aprili 2021, 8:47 um

MARA:UTALII WA NDANI WAONGEZA LICHA YA COVID-19

Idadi ya watalii wa ndani kutembelea na kujionea vivutio mbalimbali imeendelea kuongezeka mwaka hadi mwaka katiaka hifadhi ya taifa ya Serengeti iliyopo mkoani Mara licha uwepo wa changamoto wa janga la Covid-19 ambapo nchi mbalimbali ulimwengu zinakabiliana na janga hili.…