Radio Tadio

Habari za Jumla

May 17, 2021, 5:03 pm

ACT Wazalendo wakataa Matokeo Uchaguzi Buhigwe

Na; Albert Kavano Aliyekuwa Mgombea Ubunge wa jimbo la Buhigwe kupitia chama cha ACT Wazalendo mkoani Kigoma Bw Garula Tanditse ameyakataa matokeo ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge uliompa ushindi Mgombea wa CCM Bw Felix Kavejuru kwa asilimia 83. Akizunguma na…

15 May 2021, 19:50 pm

Mtenga: Nitachangia mifuko 100 ya saruji bakwata

Na Karim Faida. Waislam katika wilaya ya Mtwara wametakiwa kuonesha jitihada na kushirikiana katika ujenzi wa ofisi ya bakwata ya wilaya hiyo ili kuwapa Imani wanaotaka kusaidia kwenye ujenzi huo ambao bado haujaanza kutokana na ukata wa pesa. Hayo yamesemwa…

May 13, 2021, 1:01 pm

Wilaya ya Kahama inakabiliwa na uhaba wa damu salama

Hospitali ya Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga inakabiliwa na uhaba wa damu salama huku wananchi wilayani humo wakiombwa kuendelea kujitokeza kuchangia damu. Hayo yamesema na mratibu wa damu salama hospitali ya Wilaya ya Kahama, God Abdallah amesema uhitaji wa damu…

13 May 2021, 10:25 am

DC Maswa awaasa madiwani kusimamia miradi ya Maendeleo inayotolewa na S…

Mkuu  wa  wilaya  ya  Maswa  Mkoani  Simiyu  Aswege  Kaminyoge  amewataka  Madiwani  kusimamia  Miradi  na  kufuatilia   maendeleo  inayotolewa  na  Serikali  katika  maeneo  yao.. Kauli  hiyo  ameitoa  wakati  akitoa  Salamu  za  Serikali  katika  kikao  cha  Baraza  la  Madiwani  lililofanyika  katika  ukumbi  wa …

11 May 2021, 1:24 pm

Wananchi wapewa mbinu za kukabiliana na Tembo vamizi.

Wananchi  wilayani  Meatu  Mkoani   Simiyu  wameaswa  kushirikiana   na  wataalamu  wa   Wanyama pori  ili  kudhibiti  Uharibifu unaofanywa na  wanyama  katika  maeneo  yanayozungukwa  na  Hifadhi za  wanyama. Wito  huo  umetolewa  na  mwakilishi  wa  Mkurugenzi  idara  ya  Wanyama Pori  kutoka  Wizara  ya  Maliasili …

11 May 2021, 8:13 am

TMDA UTUNZAJI WA KUMBUKUMBU BADO NI CHANGAMOTO

Meneja wa mamlaka ya dawa na vifaa tiba (TMDA) Sofia Mziray amesema bado kuna changamoto ya utunzaji wa kumbukumbu dawa zenye madhara ya kulevya. Ameyasema hayo  kwenye kikao kazi kilichowakutanisha watumishi wa sekta ya afya na mifugo  ambacho kimefanyika kwa…

10 May 2021, 5:42 pm

ZAIDI YA WATOTO LAKI NNE KUPATIWA KINGATIBA SIMIYU

Zaidi ya watoto 400,000 wenye umri wa kwenda shule watapatiwa kingatiba mkoani Simiyu lengo likiwa kuwakinga na magonjwa ya kichocho na minyoo tumbo. Hayo yamesemwa na mratibu wa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele kutoka mkoa wa Simiyu Dkt Ntugwa Nyorobi wakati…