Radio Tadio

Habari za Jumla

19 Oktoba 2021, 3:38 um

watu watatu wajeruhiwa na chui

Watu watatu wakazi wa Kijiji Mwabulimbu kata ya Mwan’gonoli tarafa ya Sengerema wilayani Maswa mkoani Simiyu wamejeruhiwa na mnyama aina ya chui sehemu mbalimbali za miili yao. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Simiyu ACP Blasius…

Oktoba 18, 2021, 1:58 um

Zao la viazi laozea Shambani

Zao la Viazi kwa wakulima wa Kata ya Kitulo Wilayani Makete huenda likaozea shambani kwa sababu ya kukosekana soko la uhakika la zao hilo Kwa mujibu wa Wakulima wa Viazi Kata ya Kitulo, wamesema wengi wao wameshindwa kuvuna viazi shambani…

Oktoba 15, 2021, 12:07 um

Songwe kutimiza ndoto ya Mh. Samia Januari 2022

Mkoa wa Songwe umetangaza mkakati mahususi wa kukusanya kiasi cha shilingi milioni 200 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya msingi itakayowezesha kufunguliwa na kupokea wanafunzi kwa shule ya wasichana ya Mkoa inayojengwa katika eneo la Myunga,Wilayani Momba mkoani…

Oktoba 13, 2021, 12:45 um

Wakulima wapewa ruzuku za pembejeo

Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Festo Kiswaga amewataka wakulima waliopatiwa ruzuku za pembejeo za kilimo na halmashauri kuhakikisha wanatumia vizuri pembejeo hizo kwenye kilimo kama ilivyokusudia. Festo kiswaga ameyasema hayo wakati akigawa  pembejeo hizo kwa wakulima ambapo amesema wakulima waliopatiwa …