Radio Tadio

Habari za Jumla

16 March 2021, 4:08 AM

HOSPITALI ya Mkomaind imenunua mashine ya X-ray

HOSPITALI ya Mkomaindo iliyopo halmashauri ya mji Masasi mkoani Mtwara imenunua mashine tatu za kisasa ikiwemo mashine ya X-ray ambayo ni Digital X-ray Mashine ambapo mashine hizo tatu zina thamani ya sh.161 milioni lengo likiwa ni kuboresha upatikanaji wa huduma…

15 March 2021, 10:59 am

Wanabari pingeni ukeketaji

Waandishi wa habari wa redio za jamii nchini wametakiwa  kuelimisha jamii juu ya kupinga ukeketaji na ndoa za utotoni  dhidi ya wanawake na watoto hayo yamezungumzwa na afisa maendeleo ya jamii halmashauri ya wilaya ya Arusha Angela Kiama Mvaa katika…

10 March 2021, 11:45 AM

Ndoa Na Taraka Katika Jamii!!!

Hakimu mkazi mfawidhi mahakama ya mwanzo lisekese masasi  LIGHTINESS  MASIMBA alipokuwa akizungumza na kipini cha amka na radio fadhila akizungumzia maswala ya ndoa na taraka ameeleza maana ya ndoa kwa mujibu wa sheria ya ndoa sheria number 29 iliyofanyiwa marejeo…

9 March 2021, 12:56 pm

Idadi ya wanaume wanaopima VVU yaongezeka

Na, Yussuph Hans, – Dodoma. Imeelezwa kuwa kupitia mkakati wa Serikali wa kumtaka mama mjamzito kuambatana na mwenzi wake kliniki umesaidia kwa kiasi kikubwa kuwapima virusi vya ukimwi wanaume ambao awali,walikuwa wagumu kupima. Hayo yamebainishwa na mratibu wa Ukimwi kwenye…

9 March 2021, 11:57 am

Umeme upo wakutosha Mtwara na Lindi – TANESCO

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Mtwara limesema kwa sasa uzalishaji wa umeme Mtwara na Lindi umeongezeka na kupita kiwango cha matumizi ya mikoa hii ya Lindi na Mtwara na wanahakikisha kila mwananchi ananufaika na nishati hii ya umeme.…

9 March 2021, 09:35 am

Msitegemee Korosho tu: Makamu rais TCCIA

Wakulima mkoani Mtwara wameshauriwa kulima kilimo bora na cha kisasa ili kuendana na fursa mbalimbali za masoko na mazao ya kibiashara ikiwemo zao la muhogo. Akitoa wito huo jana Machi 08,2021 kupitia Jamii FM Radio Makamu wa rais wa chama…

9 March 2021, 9:14 am

Dodoma Jiji Fc wasaka rekodi

Na, Rabiamen Shoo, – Dodoma. Timu ya Dodoma Jiji Fc hii leo inatarajia kushuka katika dimba la Sokoine jijini Mbeya kuvaana na wenyeji wao Mbeya City Fc kwenye mechi ya ligi kuu soka Tanzania Bara. Dodoma jiji hivi karibuni imeibuka…