Habari za Jumla
31 March 2021, 11:06 am
Wakazi wa Ng’ambi wametakiwa kupanda miti ili kuepuka mafuriko
Na; Selemani Kodima. Wakazi wa kata ya Ng’ambi wilayani Mpwapwa wametakiwa kuhakikisha wanapanda miti pembezoni mwa vyanzo vya maji ikiwemo Mito ya maji ili kuzuia Mafuriko yanayotokea wakati wa Msimu Mvua za Masika. Wito huo umetolewa na Diwani wa Kata…
31 March 2021, 9:17 am
Serikali kuwatambua watoa mikopo ya kilimo
Na; Mariam Matundu Kutokana na changamoto ya baadhi ya wakulima kushindwa kupata mikopo ya pembejeo kwasababu ya riba kubwa na masharti mengine yanayotolewa na watoa mikopo, serikali kupitia wizara ya kilimo imeanza kuwatambua watoa huduma wote wanaotoa mikopo ya kilimo.…
31 March 2021, 6:25 am
Maabara bubu zatakiwa kujisajili hadi kufikia aprili 30
Na ; Mariam kasawa Wamiliki wa Maabara bubu Nchini ambazo hazijasajiliwa wamepewa kipindi cha mwezi mmoja kuanzia leo hadi Aprili 30 wawe wamesajili Maabara zao ili kuepuka kufungiwa. Agizo hilo limetolewa na Mkurugenzi wa Huduma za Tiba kutoka Wizara ya…
30 March 2021, 2:21 pm
Serikali yaanzisha madawati ya ulinzi kwa watoto mashuleni
Na. Yussuph Hans Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeendelea kuratibu uanzishwaji wa madawati ya Ulinzi kwa Watoto katika shule za msingi na sekondari Nchini. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee…
30 March 2021, 1:03 pm
Maboresho yachangia ongezeko la mahudhurio ya kliniki kwa wajawazito
Na; Mariam Matundu. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima amesema Wizara ya Afya imeboresha huduma za afya ya uzazi nchini katika kipindi Cha Julai 2020 Hadi Februari 2021 ambapo jumla ya wajawazito 1,165,526…
30 March 2021, 12:15 pm
Dkt.Mpango apitishwa kuwa makamu wa rais bila kupingwa
Na,Mindi Joseph. Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan amemteua Dk.Phillipo Mpango aliyekuwa waziri wa Fedha na Mipango kuwa makamu wa Rais na kupitishwa na Bunge kwa asilimia 100. Jina la Mpango limesomwa Bungeni jijini Dodoma leo…
March 30, 2021, 12:04 pm
Askofu Gwajima asema Rais Samia Suluhu Hassan ni “Konki fire, yuko juu maw…
Mbunge wa Jimbo la Kawe Mhe. Askofu Josephat Gwajima ampongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia kumpendekeza Waziri wa Fedha na MipangoDkt. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Jina la Dkt.…
March 30, 2021, 11:49 am
Mwalimu awalazimisha wanafunzi kuzoa kinyesi cha binadamu kwa mikono Kahama.
Mwalimu mmoja wa Shule ya Msingi Kayenze iliyopo kata ya Ukune halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga anadaiwa kutoa adhabu kwa wanafunzi wanne kuzoa kinyesi kwa kutumia mikono. Mwenyekiti wa kijiji cha Kayenze, Thomas Magandula amekiri kutokea kwa tukio…
30 March 2021, 11:43 am
Shughuli ndogondogo ni chachu ya kujikwamua kwa walemavu
Na; Thadey Tesha Wito umetolewa kwa watu wenye ulemavu jijini hapa kujishughulisha na kazi mbalimbali zilizopo ndani ya uwezo wao ili kupunguza utegemezi katika jamii. Wito huo umetolewa na baadhi ya viongozi wa karakana ya watu wenye ulemavu Mkoani Dodoma…