Radio Tadio

Habari za Jumla

8 Juni 2022, 3:42 um

WAZAZI SIMAMIENI MALEZI KUPUNGUZA WATOTO WA MITAANI

Baadhi ya wazazi na walezi mkoani katavi wameshauriwa kuwalea watoto katika misingi bora ili kuepuka janga la watoto wa mitaani na mmomonyoko wa maadili. Wakizungumza na mpanda fm baadhi ya wazazi hao wamesema kuwa hali duni ya maisha ndio sababu…

7 Juni 2022, 1:46 um

Halmashauri ya Pangani kugawa miche 544,000 ya Mkonge.

Halmashauri ya wilaya ya Pangani mkoani Tanga kupitia idara ya Kilimo imefanikiwa kukuza miche 544,000 ya zao la Mkonge. Akizungumza katika mahojiano na Pangani FM leo Afisa kilimo wa Halmashauri hiyo Bw. Ramadhani Zuberi amesema miche hiyo imekuzwa katika vitalu…

25 Mei 2022, 4:23 um

TAKUKURU: WANANCHI TUSHIRIKIANE KUTOMEZA RUSHWA

Jamii mkoani katavi imeaswa kushirikiana na tasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa takukuku  katika kutokomeza  vitendo vyote vya rushwa mkoani hapa. Wito huo umetolewa na  Mkuu wa Takukuru Mkoani katavi Festo Mdede wakati akitoa taarifa  ya utendaji kazi wa…

24 Mei 2022, 8:08 um

Ubalozi wa Ireland wafanya ziara Pangani.

Ubalozi wa Ireland nchini Tanzania jana umefika hapa wilayani Pangani Mkoani Tanga ili kujionea Shughuli mbalimbali zinazofanywa na Shirika la UZIKWASA ambalo linafadhiliwa na mpango maalum wa Serikali ya Ireland wa misaada ya maendeleo ya kimataifa [Irish Aid].    …