Radio Tadio

Habari za Jumla

11 Machi 2026, 4:58 um

RC Katavi asikiliza kero za wananchi

“Kila taasisi ipande miti” Na Leah Kamala Wananchi manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameelezea kero mbalimbali zinazowakabili katika maeneo yao, na kumuomba mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko kuzifanyia kazi ili kuboresha maisha yao. Kero hizo ziliwasilishwa na wananchi…

Machi 11, 2026, 9:29 mu

‘Wakulima zingatieni ushauri’

Wakati mkoa wa Manyara ukiwa katika kipindi cha masikia, wakulima wametakiwa kufuata maelekezo ya wataalamu wa kilimo Na Kudra Massaga Wakulima wilaya ya Babati Mkoani Manyara wametakiwa kufuata ushauri unaotolewa na wataalam wa kilimo pamoja na mamlaka ya hali ya…

10/03/2026, 23:31

Bugaga wanufaika na Miche 120,000 ya kahawa

“Tungependa kahawa hii imee na kusambaa katika Halmashauri yetu ya Wilaya ya Kasulu, hivyo tumieni fursa hii ambayo serikali imeitoa bure mkaitunze na msiende kuifanyia biashara badala yake mkaipande kwenye maeneo yenu”Amesema Ladislaus. Na; Mwandishi wetu Wakazi wa Kijiji cha…

09/03/2026, 20:17

Jamii yaaswa kuachana na matumizi ya dawa za kulevya

Na Jerome John. Jamii mkoani Dodoma imeshauriwa kutojiusisha na utumiaji wa dawa za kulevya au uuzaji kutokana na madhara makubwa yanayoweza kujitokeza endapo ukibainika. Akizungumza na Taswira ya habari Afisa elimu kutoka mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za…

09/03/2026, 13:03

Mbunge wa jimbo la Masasi kuhudumia wenye mahitaji

Na Lilian Martin Wakati mwingine tunaamini kwamba watu wengi huishi maisha kutokana na yale walitopitia hali hiyo tunaiona kwa watu wanaofanya matendo ya huruma ya kuhudumia wenye mahitaji kutokana na ugumu aliouona kwa watu wa karibu Mbunge wa Jimbo la…

09/03/2026, 11:53

Wanawake wenye kipato cha kawaida kujitoa kwa wahitaji

Na Lilian Martin Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi (ccm) wilayani Masasi Bi. Mariam kasembe amewapongeza wanawake waliojitoa kuhudumia watoto wenye mahitaji katika kituo kilichopo kata ya Napupa mtaa wa wapiwapi Licha ya pongezi hizo Bi Mariam alimuomba Mbunge wa jimbo…

7 Machi 2026, 11:09 mu

Kilombero warejesha mto uliotoweka

Mto Ikwambi ulikuwa hatarini kutoweka kutokana na uharibifu wa mazingira uliosababishwa na shughuli za kibinadamu Na Katalina Liombechi Shirika la Kilombero Organization for Community Development (KOCD) limefanikiwa kurejesha uhai wa Mto Ikwambi uliopo katika Kijiji cha Sululu, Kata ya Signali,…

07/03/2026, 10:13

Samia Ardhi Clinic kuelekea Siku ya Wanawake Duniani

Wanawake wanayo haki ya umiliki wa mali yoyote kama mwanaume ila jamii nyingi katika maswala ya imani huwakandamiza wanawake hasa katika umiliki wa Ardhi Samia Ardhi Clinic kupiga kambi siku saba Masasi Mji kuelekea Siku ya Wanawake Katika kuelekea maadhimisho…