Radio Tadio

Habari za Jumla

26 July 2024, 21:48

Dkt.Tulia akabidhi nyumba kwa mahitaji Mlimba,Morogoro

Wahenga wanasema kutoa ni moyo si utajiri hii inatukumbusha kuwa kila mtu anawajibu wa kumsaidia mahitaji yeyote popote anapokutana nae haijalishi ni mhitaji wa mahitaji gani. Na Ezekiel Kamanga Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani Spika wa Bunge la Jamhuri…

26 July 2024, 9:39 am

UNESCO Ngorongoro watembelea wairaq, wahadzabe na wadatoga

UNESCO ni shirika la elimu, sayansi na utamaduni la umoja wa mataifa kati ya shughuli muhimu za UNESCO mojawapo ni kutunza na kulinda urithi wa dunia na mahali penye umuhimu wa pekee kihistoria, kisayansi au kiutamaduni.Na mwandishi wetu. Ujumbe wa UNESCO wahitimisha…

July 24, 2024, 5:37 pm

Manyara yajipanga kukuza uwezo wa wafanyabiashara

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga amesema baada ya maonesho ya wafanyabiasha sabasaba  yaliyofanyika jijini Dar es salaam nakuwakutanisha  wafanyabiashara kinamama na taasisi inayojishughulisha na wakina mama wanaosafirisha bidhaa nje ya nchi wanatarajia kufanya mkutano na kinamama wazalishaji na…

23 July 2024, 13:12

Mbunge Sichalwe awawezesha vijana kiuchumi

Kongamano la kuwawezesha vijana kiuchumi lavunja rekodi kutokana na idadi kubwa ya vijana waliojitokeza. Na mwandishi wetu, Momba Songwe Mamia ya vijana kutoka makundi na kanda mbalimbali wamemshukuru Mbunge wa Jimbo la Momba Mheshimiwa Condester Sichalwe (Mundy) kwa kuandaa kongamano…

July 18, 2024, 11:35 am

Nkigi: Abiria acheni uoga

Abiria mkoani Manyara wametakiwa kupaza sauti zao na kutokuwa waoga wanapoona kuna changamoto katika vyombo vya usafiri kama dereva kukimbiza gari kwa kutoa taarifa katika vyombo vya sheria ikiwemo jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani pamoja na chama cha…