Familia
1 Oktoba 2025, 4:53 um
RUWASA yaombwa kuongeza nguvu kusimamia miundombinu ya maji
Miundombinu ya maji kuharibika mara kwa mara hasa mabomba kupasuka, hali inayosababisha visima na vituo vya maji kushindwa kutoa huduma ya uhakika. Picha na RUWASA. Wananchi hao wamesema kuwa hapo awali baadhi ya visima vilisimamiwa na kamati za huduma ya…
20 Septemba 2025, 4:48 um
Ubovu wa taa za barabarani Katavi kero kwa madereva
Moja ya taa za barabarani katika halmashauri ya manispaa ya Mpanda. Picha na Sultan Kandulu “Taa za barabarani kuwa mbovu zinaleta changamoto kwetu sisi watumiaji wa vyombo vya moto” Na Sultan Kandulu Watumiaji wa barabara mkoani Katavi wametakiwa kuchukua tahadhari…
5 Septemba 2025, 11:32 mu
Wezi wabomoa na kuiba ndani ya duka Msalala road
“Matukio ya vibaka na wezi kuiba katika mtaa huu yamekithiri hatuna amani, serikali iwashughulikie watu watakaobainika ili iwe fundisho” – Mwananchi Na: Amon Mwakalobo Watu wasiofahamika wanaosadikika kuwa ni wezi wamebomoa kibanda cha biashara (duka) cha Bw. Shemu Masato katika…
14 Agosti 2025, 6:18 um
DUWASA yakamilisha zoezi la ulipaji fidia
Baadhi ya maeneo hayo ni pamoja na Nzuguni, Zuzu Nala, Nala Chihoni na Kibaigwa. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Wizara ya Maji, imekamilisha zoezi la ulipaji wa fidia yenye jumla ya Shilingi Milioni 999 kwa wananchi 103…
18 Julai 2025, 5:15 um
Wanahabari Manyara wapatiwa mafunzo ya ukaguzi
Waandishi wa habari mkoani Mmanyara wamepatiwa mafunzo ya kujengewa uwezo wa kufanya shughuli zao za kuelimisha jamii zinazohusu habari za ukaguzi. Mafunzo hayo yametolewa na wataalamu kutoka Tasisi ya mkaguzi mkuu wa serikali (CAG) kwa lengo la kuwawezesha waandishi wa habari…
18 Julai 2025, 4:31 um
Wananchi zaidi ya laki moja kunufaika na mradi wa maji Mbulu
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2025, Ismail Ali Ussi, ameeleza kuridhishwa na namna RUWASA inavyosimamia utekelezaji wa mradi huo. Na Kitana Hamis.Jumla ya wananchi 133,737 kutoka viji 21 vya Halmashauri ya wilaya ya Mbulu wanatarajia kunufaika…
17 Julai 2025, 3:50 um
Wadau wahimizwa usimamizi usalama wa mabwawa
Kwa upande mwingine Wataalamu na Wamiliki wa Mabwawa ya maji na tope sumu, Taasisi na watu binafsi wameshauriwa kujisajili katika mafunzo haya muhimu yanayohusu Tahadhari za dharura za kukabiliana na Majanga ya Mabwawa ya Maji na Tope Sumu. Na Farashuu…
3 Julai 2025, 4:32 um
RUWASA watakiwa kutatua changamoto ya maji Bolisa
Katika kuhitimisha ziara yake Wilayani Kondoa, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewataka wananchi kuhakikisha wanashiriki katika Uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa kupiga kura. Na Seleman Kodima.Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule ameutaka uongozi wa wakala wa…
21 Juni 2025, 3:48 um
Kutoka ungariba hadi kiongozi wa mabadiliko
Safari ya Rhobi, mafanikio yake, changamoto, na mwito wake kwa wanawake Na. Edward Lucas Katika jamii inayokabiliwa na mila kandamizi na uwakilishi mdogo wa wanawake katika uongozi, Diwani Rhobi Ghati kutoka Kata ya Kiore, halmashauri ya wilaya ya Tarime, mkoani…
18 Juni 2025, 1:25 um
Mabadiliko ya tabianchi yanavyo sababisha ukatili wa kijinsia kwa wanawake
Simulizi yetu inatupeleka katika kijiji cha Chali Igongo, wilayani Bahi mkoani Dodoma Katika maeneo mengi ya vijijini nchini Tanzania, mabadiliko ya tabia nchi yamekuwa tishio la kweli si kwa mazao tu, bali kwa maisha ya kila siku ya wanawake na…