Radio Tadio

Elimu

25 January 2024, 15:53

Serikali, wananchi Buhigwe watatua kero ya umbali mrefu wa shule

Mwenyekiti wa Jumuia ya Umoja Vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Muhamed Kawaida amewapongeza wananchi wa kata ya Biharu Wilaya ya Buhigwe kuanzisha ujenzi wa sekondari kutokana na changamoto kadhaa za kiusalama na umbali kwa wanafunzi waliokuwa wakilazimika kufuata huduma…

25 January 2024, 11:22

Kibondo: Vijana waaswa kutumia amani iliyopo kusoma kwa Bidii

Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Rehema Sombi, amewataka vijana wa kitanzania kutumia amani iliyopo kusoma kwa juhudi na maarifa ili kuhakikisha nchi inapiga hatua zaidi kimaendeleo kwa kuwa na watu wenye uwezo wa kukabili changamoto…

22 January 2024, 12:30

Michango mingi yawaondoa walimu CWT

Baadhi ya waalimu wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wameulalamikia uongozi wa chama cha walimu Tanzania (CWT) kwa kuwakata michango mingi hali inayopelekea baadhi ya waaalimu kijiondoa katika chama hicho. Akizungumza katika kikao cha wadau Elimu Mkuu wa shule ya sekondari Ruchugi…