Radio Tadio

Elimu

4 Machi 2023, 10:18 mu

Simiyu: DC Maswa apiga marufuku wanafunzi kufukuzwa shuleni

Na Alex Sayi Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu ,Mhe.Aswege Kaminyoge ,amepiga marufuku tabia ya Wakuu wa shule wilayani hapo kuwafukuza wanafunzi kwa sababu  ya kutokukamilisha michango ya shule au kwa sababu zingine zile. Hayo ameyasema wakati akizungumza na…

28 Febuari 2023, 5:21 um

Wanafunzi watembea zaidi ya kilomita 28 kufuata shule

Serikali imeombwa kusaidia kukamilisha ujenzi wa shule ya sekondari ili kurahisha upatikanaji shule hali itakayopunguza gharama kwa wazazi wanaosomesha watoto . Na Victor Chigwada                                                        Wanafunzi wa kata ya chiboli wilayani chamwino wanalazimika kutembea umbali wa zaidi ya km 28…

28 Febuari 2023, 4:27 um

Nollo kumwaga Madawati 800 shule za Msingi

Halmashauri ya wilaya ya Bahi ambayo kwa miaka mitatu mfululizo imekuwa na sifa kubwa katika  idara ya elimu Msingi. Na Bernad Magawaa MBUNGE wa Jimbo la Bahi . Kenneth Nollo ameahidi kutoa madawati 800 ikiwa ni sehemu ya  kuanza kupunguza…

22 Febuari 2023, 7:40 um

Nimefurahishwa na miradi ya kimaendeleo – Majaliwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema anafurahishwa na mafanikio makubwa ya utekelezwaji wa ujenzi miradi mbalimbali ya maendeleo yanayoonekana katika maeneo mbalimbali nchini yakiwemo ya wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi. “Wana-Ruangwa lazima tuendelee kumshukuru Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa…

22 Febuari 2023, 5:38 um

Uhaba wa vyumba vya madarasa watajwa kuwa kikwazo

Uhaba wa vyumba vya madarasa na nyumba za walimu imetajwa kuwa kikwazo kikuu cha maendeleo. Na Victor Chigwada. Uhaba wa vyumba vya madarasa na nyumba za walimu imetajwa kuwa kikwazo kikuu cha maendeleo ya elimu katika kata ya Chilonwa Wilaya…

17 Febuari 2023, 10:53 mu

Idara ya Elimu Msingi Bahi yazidi kung’ara

Na Benard Magawa Ikiwa imetimu takribani zaidi ya miezi miwili tangu kutangazwa kwa matokeo ya darasa la saba hapa nchini Disemba mwaka 2022 ambayo yaliweka historia mpya kwa  wilaya ya Bahi baada ya wilaya hiyo kuwa kinara mfululizo kwa miaka…