Radio Tadio

Elimu

15 Machi 2023, 6:06 um

Wazazi watakiwa kuhimiza watoto kusoma

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewataka wazazi na walezi kutumia fursa za vyuo na taasisi mbalimbali za elimu ya juu zilizopo mkoani Dodoma. Na Fred Cheti. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewataka wazazi na walezi kutumia…

15 Machi 2023, 12:05 um

Kamanda Makame awaasa wananchi kuishi katika misingi ya dini

KATAVI Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa katavi Ali Makame Hamadi amewataka wananchi kuishi katika misingi na maadili ya dini ili kuondokana na matukio kiuhalifu. Ameyasema hayo wakati akishiriki ibada katika kanisa la New harvest kijiji cha songambele Halmshauri…

14 Machi 2023, 1:14 um

Wanafunzi watakao faulu kununuliwa mahitaji yote ya msingi Kongwa

Halmashauri ya wilaya ya Kongwa kujipanga kuwanunulia mahitaji yote ya msingi wanafunzi wenye wazazi wasiojiweza kiuchumi watakaofaulu. Na Alfred Bulahya. Halmashauri ya wilaya ya Kongwa imepanga kuanza kuwanunulia mahitaji yote ya msingi wanafunzi wenye wazazi wasiojiweza kiuchumi watakaofaulu na kuchaguliwa…

9 Machi 2023, 1:12 um

Watu wenye ulemavu washauriwa kuchangamkia mikopo ya halmashauri

KATAVI Watu Wenye ulemavu Mkoani Katavi  wameshauriwa  kuchangamkia fursa ya  mikopo ya asilimia mbili inayotolewa na serikali kupitia  halmashauri zote nchini. Katibu wa Chama cha watu wenye ulemavu Mkoa wa Katavi  Godfrey Sadala ameiambia Mpanda Radio kuwa watu wenye ulemavu…

7 Machi 2023, 6:46 um

Ukosefu wa shule wasababisha ndoa za utotoni

Kukosekana kwa shule ya msingi kijiji cha Kaza roho Kata ya Manzase Wilaya ya Chamwino imesababisha wanafunzi kuacha masomo na kuamua kuolewa katika Umri mdogo. Na Victor Chigwada, Imeelezwa kuwa changamoto ya kukosekana kwa shule ya msingi kijiji cha Kaza…

7 Machi 2023, 4:27 um

Polisi Watoa Elimu Kukemea Ukatili Iringa

Kufatia kukithiri kwa matendo ya kikatili katika mkoa wa Iringa Jeshi la Polisi linaendeleza kampeni ya kutoa elimu ya kutokomeza ukatili. Na Joyce Buganda. Jeshi la polisi Mkoani Iringa linandelea na kampeni ya kutoa elimu katika makundi mbalimbali  kuhusu mambo…