Radio Tadio

Elimu

4 Aprili 2023, 1:03 um

Vijana 300 kudahiliwa na Chuo cha Veta Bahi Julai 2023

Amewapongeza wasimamizi wa ujenzi wa chuo hicho kwa kutafuta ufumbuzi wa changamoto zilizopelekea chuo hicho kutokukamilika kwa wakati. Na Benard Magawa. Vijana wapoatao 300 wanatarajiwa kuanza kunufaika na elimu ya ufundi stadi veta mara tu chuo cha Veta Bahi kitakapokamilika…

17 Machi 2023, 4:04 um

Wazazi waliokatisha watoto masomo kukamatwa

Baadhi ya wazazi wanadai elimu zote mbili zina umuhimu huku wengine wakibainisha kuwa  walimu pia wanachangia kuongeza kwa  utoro shuleni. Na Nizar Khalfan. Zoezi la ukamataji la wazazi wa wanafunzi watoro limeanza wilayani kondoa ambapo zaidi ya wazazi kumi na…

17 Machi 2023, 2:59 um

WANAWAKE WASHIRIKI KWENE NGAZI ZA MAAMUZI , KISWAHILI CHAAJWA.

NA KHADIJA RASHID, PEMBA. “KISWAHILI kimenifanya niwe maarufu ndani na nje ya nchi yangu. Lugha hii niliipenda tangu nikizoma shule. Licha ya umaarufu nilioupata kupitia Kiswahili, lugha hii imechangia maendeleo yangu binafsi na taifa kwa ujumla.” Ni kauli ya Consalata…

15 Machi 2023, 6:06 um

Wazazi watakiwa kuhimiza watoto kusoma

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewataka wazazi na walezi kutumia fursa za vyuo na taasisi mbalimbali za elimu ya juu zilizopo mkoani Dodoma. Na Fred Cheti. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewataka wazazi na walezi kutumia…

15 Machi 2023, 12:05 um

Kamanda Makame awaasa wananchi kuishi katika misingi ya dini

KATAVI Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa katavi Ali Makame Hamadi amewataka wananchi kuishi katika misingi na maadili ya dini ili kuondokana na matukio kiuhalifu. Ameyasema hayo wakati akishiriki ibada katika kanisa la New harvest kijiji cha songambele Halmshauri…