Dini
18 September 2023, 3:34 pm
Viongozi wa dini watakiwa kutoa huduma nzuri kwa wananchi
Kanisa la Pentecostal Christian International lililopo Mji Mwema Dodoma limesimika viongozi 20 katika nafasi za huduma mbalimbali. Na Yussuph Hassan. Viongozi waliosimikwa katika nafasi mbalimbali ndani ya Kanisa la Pentecostal Cristian International lililopo Mji Mwema Dodoma, wametakiwa kutoa huduma nzuri…
18 September 2023, 2:19 pm
Askofu atabaruku altare parokia ya Businde
Na: Eliud Henry Askofu wa Jimbo Katoliki Kayanga, Mhashamu Almachius Rweyongeza ametoa Sakramenti ya Kipaimara kwa vijana 163 wa Parokia ya Mtakatifu John Chrysostorm-Businde pamoja na kutabaruku altare ya parokia hiyo kwa kuzika masalia ya Mt.Yohane Paulo II kama ishara…
16 September 2023, 8:00 pm
Askofu Bagonza: Acheni kuamini vitu vinavyoharibika
Septemba 15, 2023 waumini wa kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe wamejumuika pamoja katika tamasha la nne la uimbaji la wanawake wa dayosisi hiyo ambapo vikundi 12 vya kwaya vilishiriki mashindano hayo na kwaya ya akina mama…
15 September 2023, 12:22 pm
Askofu Rweyongeza aongoza maelfu ya Mahujaji Karagwe
Kila tarehe 14 septemba waumini wa Kanisa katholiki jimbo la Kayanga wanakutana katika kituo cha hija Kalvario Kayungu kwa lengo la kusali njia ya msalaba ili kukumbuka mateso ya yesu aliyoyapata msalabani ili kuwakomboa wanadamu. Na Eliud Henry Askofu wa…
14 September 2023, 18:40
Vijana jengeni mazoea ya kumtumikia Mungu na kusoma neno lake
Kanisa ni moja ya taasisi nyeti ambayo ipo katika kuwajenga waumini wake kumjua Mungu na kumtumikia,kutokana na hali hiyo kanisa la Moravian limekuwa na utaratibu wa kuandaa mikutano ya kila idara ili kuwakutanisha waumini kubadilishana vipawa kutokana na rika zao.…
30 August 2023, 10:07 am
KKKT wamuaga Ambele Mwaipopo
MPANDA Idara ya wanawake wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) Jimbo la Katavi wamefanya hafla ya kumuaga Askofu wa Dayosisi ya ziwa Tanganyika Ambele Mwaipopo ambaye anakaribia kumaliza muda wake. Awali akisoma taarifa Mwenyekiti wa Idara ya wanawake…
16 August 2023, 4:22 am
Waumini TAG Geita washiriki ujenzi wa Kanisa
Linapokuja suala la kuabudu waumini huwa na moyo na msukumo mkubwa katika utekelezaji wa jambo la kiimani, hili limejiri pia katika Kanisa la Chabulongo. Na Kale Chongela- Geita Baadhi ya waumini wa Kanisa la TAG mtaa wa Chabulogo wameshiriki na…
15 August 2023, 1:18 pm
Viongozi wa dini watakiwa kuwasaidia watu wenye mahitaji mbalimbali
Viongozi pia wamekumbushwa kuendelea kuliombea Taifa. Na Seleman Kodima. Wito umetolewa kwa watumishi na Viongozi wa Dini kuwa na Moyo wa kusaidiana watu wenye mahitaji mbalimbali pindi wanapokuwa kwenye majukumu ya utumishi. Wito huo umetolewa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa…
10 August 2023, 12:10 pm
Jimbo kuu katoliki Dodoma lapokea sanamu ya Bikira Maria
Kwa mujibu wa imani ya kanisa katoliki, Mama bikira maria ndiye mama wa Yesu kristo Mkombozi wa ulimwengu, ambaye ni muombezi wa kanisa ambapo baada ya kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika mwaka 1961, Muasisi wa Taifa hili hayati Julius Kambarage…
1 August 2023, 3:29 pm
Uwekezaji wa bandari ni chanzo cha mapato ya nchi
Maaskofu walioapishwa ni pamoja na Askofu Simon Maloda wa Dayosisi ya Dodoma, Askofu Leoanard Matia Mbole wa Dayosisi Bahi. Na Pius Jayunga. Uwekezaji wa bandari ya Dar es Salaam umetajwa kuwa chanzo mojawapo cha ukusanyaji wa mapato ya nchi ili…